VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)
Hutaki niongee ukweli?
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni wepi wanawaza ngono zaidi?
Mmmmm mbona sifiki nilikotokea, Husninyo naomba uendeshe wewe manake hapa ishaanza kuwa noma.
Kuniongoza kwenda wapi?
:car:Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
LD, mimi Bacha,
naruhusiwa kukuongoza?
naona unapata tabu, na jinsi njia ilivyo na bumps za kumwaga, acha tu!
:car:
:car:
c u!!!
Du!!jitongozeshe
Rose subiri tuongozane na bacha unaweza ukazidi kupotea mpendwa
Du!!
Kumbe akina dada huwa mnafanya tathmini kwa siku, wiki na mwaka mmetongozwa mara ngapi!!!! Nilikuwa sijui.
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.
mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!
Acha mawazo ya uzinifu - Fanya kazi kwa bidii kwa manufaa yako na ya familia yako sasa na baadaye