wiki inakatika sasa..

Princess Preta wanakuzingua tu hao. Libolo ni timu ya soka ya Angola iliyoifunga timu yangu ya Simba last week.

bora umekuja wewe.......hawa walikuwa wananizengua tu.....Libolo Libolo....kila mahali.....nikajiuliza ni kitu gani hiki......
 
bora umekuja wewe.......hawa walikuwa wananizengua tu.....Libolo Libolo....kila mahali.....nikajiuliza ni kitu gani hiki......

Hata uvungeje! Unalo hilo!
Limekung'ang'ana Halimochoki !
 
ikiwa wiki inaelekea ukingoni nnaomba kwa heshima na taadhima nitambue maneno yaliyoshika kasi wiki hii, ni LIBOLO na ZOMBIE, akaaa mie sitaki stress weka na wewe ya kwako.....

watu kwa sifa hamjambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…