Wiki hii historia mpya ya Tanzania inaandikwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wiki hii historia mpya ya Tanzania inaandikwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Mungu, Apr 4, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!

  1: Muhimu katika habari kubwa na tamu za leo Jumatatu Aprili 4, 2011 - Kumbe kikombe cha Babu wa Loliondo ni USHIRIKINA!!!!!!
  2: Rais na waziri wake wa sheria watofautiana na muswada wa katiba wanaowasilisha bungeni wiki hii - kwa waliofuatilia kongamano la UDASA Jumamosi 2,Aprili 2011 watakumbuka cheche za akina Marando na Mtatiro, na Mbowe kurudi kwa umma; vigogo wa CCM waliingia mitini wakamsukumia masikini wa watu Prince Bagenda, ambaye naye kwa kuhofia cheche akaelekeza kwamba waTz wasidhani katiba nzuri itapatikana kirahisi (alinishangaza kama kweli hapa alikuwa anasemea CCM kweli?); kwa wadadisi linganisha habari za HABARILEO ya leo Jumatatu, Aprili 4, 2011;
  3: Mjadala na hatimaye kura ya wabunge wiki hii kuhusu muswada wa katiba mpya kuamua kama ni-sisiemu na serikali yake kusalimu amri na kufuta mtazamo waliopeleka bungeni wa rais kuchukua nafasi ya waTz kutengeneza katiba mpya ama katiba mpya kupatikana kupitia pipoooos pawa-ambayo kwa mtindo uliosemwa kwenye kongamano la Jumamosi kuwa ni ule wa Tunisia na Misri, na sasa Libya!
  4: Macho YOTE ya waTz kugeuzwa kutoka kwenye ushirikina Loliondo na kuelekezwa kwenye bunge Dodoma-patawaka moto!
  5: Hatimaye Tz kubakia kuwa taifa la viongoizi wanaoongozwa na falsafa ya ushirikina-rais kulindwa na majini ya sheikh na sasa serikali yote imejimwaga katika kikombe cha mashetani Loliondo!
  6: Bila shaka wanaJf nao hawatabaki nyuma!!
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Fuvu la mtu wa kwanza aligunduliwa bonde la olduvai, bila shaka kama kuna kiama kitaanzia Tanzania.
   
 3. n

  ndutu Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui umetuambia nini hapa na hiyo historia mpya ni ipi katika wiki hii!
   
 4. W

  WildCard JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Msitarajie miujiza toka kwenye Bunge la Anna Makinda. Anajua kafikaje pale kwenye Uspika.
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tz haiko hapa kuomba uungwana wa anne makinda, kama hawezi kufanya yanayoridhisha wananchi kiti kitakuwa KITIMOTO, wabongo wameamka.
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naunga mkono hoja. Jana askofu kakobe katoa siku tano kilichoko loliondo kugeuka! naam wabunge 2one wapo kwa ajili ya chama au watanzania. makinda kuendeleza ubabe kuua hoja ya msingi ?? ? nadhani nina wazo mbadala kuhusu makinda. akiweka chama mbele kuliko utanzania then nitaandamana pekeangu mpaka dodoma kumpinga na kumtaka ajiuzulu. ukitaka kuniunga mkono then karibu. naunga mkono hoja. waheshimiwa jf.
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mamlaka na madaraka ya Spika ni makubwa sana ndani ya Bunge. Spika hana uhusiano wa aina yoyote na "wabongo" nje ya bunge.
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Hakuna ulichoongea hapa naona umechanganya mambo, mara ushirikina mara bunge mara majini mara falsafa tushike lipi tuache lipi? weka mada moja moja utafeli mtihani pamoja na kuwa na uelewa.
   
 9. s

  seniorita JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  confusion and contradiction of issues...that are not related...some comments on issues like loliondo are very subjective....
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bora usione,maana hauta kawia kupanic
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mtoa hoja kaeleweka vizur sema nyie hamkaki kuelewa. simply kasema no of thing ar going 2 happen. sasa ni mnataka aongeze? kalagabaoo
   
 12. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na mtoa hoja kwa jambo moja; wiki hii ni ya kunyoa au kusuka. Wanaharakati na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wakiruhusu muswada huo upite kama ulivyo basi hata mimi nitajiunga na Membe kupigia debe uraia wa nchi mbili, maana uzalendo wangu kwa Tanzania utakuwa umeingia doa.
   
 13. A

  Ame JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  OOh God of Mercy and abundant Grace ni wakati huu ambapo wana wako watarudishiwa ufalme wako? Niko magotini naomba Mungu aharakishe hiyo historia wala asikawie ili tuingie katika hatua nyingine ya kulijenga taifa na kuacha malumbano yanayoendelea kulinajisi taifa!
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fikiri kwa ubongo wako na uchague lipi unataka kuacha!
   
 15. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  umeelewa nini mara ushirikina mara historia mara bunge mra ana makinda kushindwa mara shehe yahaya labda arudie tutamwelewa
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Holly crap.
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acha propaganda zako za kihuni,loliondo watu wanaenda kwa hiari yao na hakuna anaewalazimisha! Kama hutaki kwenda isiwe kero kwa watu wengine! Kwa vile wewe ni mganga wa jadi unataka watu waje kwako! Acha watu wafanye mambo yao kwa uhuru wao!
   
 18. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umesahau moja kuu,
  Wiki hii CDM iliendelea kusajili magarasa yaliyoachwa na CUF, safari wamemchukua Prof. Safari.
  Kumbuka wameshawahi kuwasajili Shaibu Akwilombe, Wilfred Rwakatare nk. Wote hawa hawakusaidia kitu kwenye timu yao mpya!
   
 19. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umesahau:-

  1. Marais Watarajiwa nao pia wametembelea Loliondo kupata kikombe. Wengine kwa siri na wengine wasiotaka unafiki wametangaza. Kwa hiyo Tanzania itaendelea kuongozwa na washirikina wanaoabudu mashetani hata baada ya CCM kuondoka madarakani
   
 20. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Bweshu!!
   
Loading...