Yaaani Full kimya???? AMA tutarajie wiki ijayoooo???? KUNANI????!!!Ha ha ha Utani wako sio wa nchi hii
Sifanye masihalaaaa weweeeee......?!!!!Tundu lisu kweli kiboko.
NAONA mnaitanaaa watu wa 'Usala-ima' wohooooo....??!!!! kabla hajaja tuambie mbona Baba kimyaaaa........kunani????!!!!
Tundu lisu kweli kiboko.
Mi poa tuu kwani kuitwa kitu gani mzee baba....
Tune ya mziki wa Sillu inamuumiza baba masikio
Tune ya mziki wa Sillu inamuumiza baba masikio
Umejizira aseeeMi poa tuu kwani kuitwa kitu gani mzee baba....
walikuwepo akina nanii wakapotea...hata nikipotezwa poa tuu....Ulizaliwa, uishi, ufe (unakufa kifo gani mi sijui)
#Mambonimengimdamchache
So kisutu poaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eheeeee...yaaani Mambo ni mengi mda mchache acha tupaze sauti!!!!!!Umejizira aseee
...wao ndo washatufikisha hapa,tusiache kusema
Paza sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaaaaaaKatulia zake salasala. Maskin jamaa anauguza maumivu makali sana kwa kina Jackie Chen. Inauma sana mke kuchepuka na kubeba mimba. Balozi wetu ndiye mtanzania pekee mwenye kifua