Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

bmk

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
571
857
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......


Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......


Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!


KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom