Wigi lamdondoka bila kutegemea mdada

abudist

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
856
Reaction score
788
Huyu dada kujishaua kwake kulimwisha baada ya wigi lake kumdondoka na mikogo yote kwisha. Kwa hiyo kama kuna jamaa alikuwa pembeni kampenda kwa urefu wa nywele zake. Inawezekana alibadilisha mawazo baada ya tukio.

 
ha haa haaaa,mimi kanifurahisha tu aliyeliokota
 
Huyu dada kujishaua kwake kulimwisha baada ya wigi lake kumdondoka na mikogo yote kwisha. Kwa hiyo kama kuna jamaa alikuwa pembeni kampenda kwa urefu wa nywele zake. Inawezekana alibadilisha mawazo baada ya tukio.


Mbona ni unsuported video?
 
Nao wamezidi unakuta dada anaangalia kushoto, wigi linaangalia kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…