Julieth Ms
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 102
- 37
Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na tulikuwa tunakula dagaa leo hii amepata ukurugenzi anasema hawezi kabisa kufika kwangu anataka alale guest nilipo muuliza mbona pakulala nimekuandalia akasema hadhi yake hawezi kabisa kulala kwangu mitaani pale guest bei gani chumba nikamwambia zipo za Tsh.10000-30000/= akasema hakuna guest yenye hadhi ya kulala yeye akaniambia anaenda Sinza kulala kwenye guest za hadhi yake kwakweli ubinadamu kazi jamani.

Hiyo ni definition ya mtu ambae elimu haijamsaidia hata kidogo! Na wako wengi sana!
Hapo kwenye RED hiyo issue is not applicable ndoa nyingi zimeshindwa kuwork out kwa sababu ya upuuzi huo. Pesa + pesa = matatizo matupu, kitakachosaidia tu ni kutokuwa na financial harassment lakini mtu anaweza akawa na hadhi kwenye jamii lakini ndani ya ndoa akawa hana hadhi ( nadhani umenielewa ) i feel very guilty kwa kuwa do sana wake za watu tena ambao siwapati kwa lolote kiuwezo. hii sio story ni fact.Muda mfupi ujao utasikia kaolewa na mwenye hadhi inayoendana na nafasi yake!
Hii ndiyo tatizo la wanawake wa bongo! Pumbavu zake huyo wifi yako (wakilisha tusi langu kwake)
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?
Muda mfupi ujao utasikia kaolewa na mwenye hadhi inayoendana na nafasi yake!