Umeiflash vipi?mkuu Hazchem plate natumia simu tecno m3 iajiwasha data na wifi yenyewe
nifanyeje isifanye hivyo?
nimeflash... bado tatizo lipo
ant virus like avast, clean master zimeshindwa kuondoa tatizo
nimesoma sana mitandao mbakimbali like jf wanasema kuna virus anaitwa vpn na nimemuona lakin kashindwa kutoka. yupo kama app lakin kajificha sana. kuna option ya force stop only
sifa ya huyu mdudu ni kuji restart mwenyewe.
nisaidieni nimalize tatizo
cc Chief-Mkwawa Mwl.RCT Njunwa wa mavoko na wengine
Mkuu kwa simu za mediatek Kuna virusi wanaingia, then wanaroot simu then wanajibadili kuwa system app. Unaporeset simu system app huwa haziguswi hivyo virusi vinakuwa vile vile.Nilifanya factory hard reset mkuu
Lakin pia nimegundua kuna virus wamejiweka kama app wanaitwa vpn (kwa mujibu wa google wamem term kama virus) ndio wamehusika na kuwasha wifi na data.
Haiwez kuwa uninstalled kabisa
Nimejaribu ku dis able na ku force stop lakn kanaji restart tena
Msaada wako, hakuna ant virus imetatuaView attachment 1151298
Huyo sio kirusi mama Kama umemuona kirahisi hivyo hivyo ni vitoto tu ambavyo vinazalishwa.Mkuu hio virus nimeishaijua ilipo. Mbona ya kuiondoa ndio imefeli
Hio box inapatikanaje?
Sina pc hapa ningeweza kujaribu kukiondoa.
Halafu ku root simu pia kama si mtaalam haiwez kuleta madhara?View attachment 1151433
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapata "shemela asage data"Duuhu? Nimeshangaa neno "WiFi usage data" maana nimelisoma na nimelitafakari kwa Kiswahili, ila kumbe siyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapata "shemela asage data"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapata "shemela asage data"