Julieth Ms
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 102
- 37
na wewe huna kazi ya kufanya kutwa kuchwa kuhangaika na wifiyo khe!
Lol... Huyu ndie yule wifi alikataa kulala kwake?...na wewe huna kazi ya kufanya kutwa kuchwa kuhangaika na wifiyo khe!
Lol... Huyu ndie yule wifi alikataa kulala kwake?...
Kesho ukienda tena mtengenezee juice fresh ili akinywa asiharishe....Kaka angu anaumwa kwenda kumwona ndo haya sasa huu sio ubinadamu
loh alo alo wanawake tuna shida sana
achana nae
Kesho ukienda tena mtengenezee juice fresh ili akinywa asiharishe....
Jiangalie sana na huyo wifi yako lazima kuna zaidi ya juice sio bure, manake hata kama hakutaka mumewe atumie hiyo juice angesubiri mlioleta muondoke then ndio aitupe.. Hakutumia busara ila jiulize 'KWA NINI'
Hahahaha! Atakonda kwa mambo ya watu huyu, angepata wifi kama mimi afu anifwate mkiani hivi angejuta kunifaham.....inabidi ajiangalie mara mbili, mbili kulikoni yeye na wifie.ndio yeye hata simuelewi bidada kazi yote anajipa ya nini kifaa amechagua kaka yake yeye kutwa na njia kwenye himaya ya wifi kulikoni!
Am sure ameipupa vile wameleta majirani zako wewe, sasa hebu tuambie kulikoni wewe na huyo wifi ako manake sio bure!.Unajua kibaya zaidi juice yenyewe wamenunua majirani zangu na sijanunua mimi maana aliuliza huu uchafu nani kaleta akaonyeshwa wale majirani zangu yaani ubinadamu kazi jamani
Mi nimemwachia Mungu tu ipo siku nidhamu itarudi mahala pake[/QUOTE
Am sure ameipupa vile wameleta majirani zako wewe, sasa hebu tuambie kulikoni wewe na huyo wifi ako manake sio bure!.
Hahahaha! Atakonda kwa mambo ya watu huyu, angepata wifi kama mimi afu anifwate mkiani hivi angejuta kunifaham.....inabidi ajiangalie mara mbili, mbili kulikoni yeye na wifie.