Wife materials ni shida

Kuna mwanamke ana umbo la "polygon"....?!
Kweli mitaala ya Tz imefika pabaya.
 

Duu..., kwa mtazamo huu bado tupombali saanaa.,
 

Na hao material wataolewa na nani? Hisia ya ngono haipo kwenye sura au umo bali raha na utulivu unaopata pia utamu uliopata. Ya nini kuwa na mwanamke anayetamaniwa na kila mwanaume? Hebu kuweni na akili GTs. Mwanamke anayevutia machoni anaweza asivutie kitandani kwani wangapi tumehangaika nao kwenye game hawawezi na hawana utamu wowote! Mgeni wa wanawake nini! Ukikua utaacha ujinga wako.
 
Ushauri wako unawapotosha wenziyo na jinsi nilivyikusoma unatafuta mwanamke mrembo ili usifiwe mtaani na kwa Rafiki zako...ndoa c kitu cha mchezo utawezaje kuishi na lianamke ht kufanya usafi ndani kwake hawez kisa ana shape nzuri,hakika utakufa maskini daima
 

Na kama mtu tabia yake ni uzinzi au uasherati, wewe ubadilike uweje? Na wewe uwe mzinzi? Au ubadilike uweje?
 
Nimeipenda hii mkuu. Nadhani hii ndio toafuti. Kila mtu ana vigezo vyake.


Umeonaee..!ni kwa sababu tu kila mtu ana mitazamo yake. Anaweza kuwa wife material kwako kwa mwingine ikawa tofauti kabisa.
 

watu wanaoana kwa hisia nasiyo kwa tabia
 

Una inferiority complex kijana, hao wanawake wazuri unaopishana nao mitaani wanatunzwa/kujitunza, wengi ukipewa picha zao za miaka kadhaa nyuma unaweza usiamini.
Mwanamke anatakiwa aishi maisha rahisi. Unashindwa kununua mkaa au gesi ya kupikia unamuacha mkeo ashinde kwenye kibanda cha jiko la kuni halafu utegemee kuwa na ngozi nyororo kama hao unaowaona ni wazuri!!!!
Kuna watu ni wazuri sana ila ugumu wa maisha unahafifisha uzuri wao, ila mambo yao yanapokuwa mazuri kila kitu kinakuwa kizuri.
 
Baadhi ya komenti zinasikitisha, kweli kila mtu ana mtazamo wake juu ya nani anafaa kuwa mwenza wake.
 
Wenzako washaachana na hiyo phenomenon...huo msako waachie police wasake wenye tabia nzuri kwa ustawi wa nchi! How come mtu na akili zako timamu miaka nenda rudi macho kodo eti unatafuta wa tabia nzuri...sitashangaa unaoa hawa wenye vijishepu vya tangawizi kwa kisingizio cha tabia nzuri....kuna wenzako wameoa wenye sura zisizotazamika mara mbili leo hii michepuo imekuwa njia kuu kwao...Itaendelea wiki ijayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…