mcharo kawa mtamuuu.............
kama wife material
Miss u sanaaaa
Kuna wengine wanajikuta, Wengine wanaona ila hawaoni, Kuna wengine wanaweka vigezo na kuchagua saana mwishowe wanaoa tu ilimradi, Wengine wanalazimishwa na wazazi, wengine wanalazimishwa na mazingira, wengine wameoana kwa bahati mbaya (mimba na kama sio hio wasingeoana), wengine huruma, wengine umaarufu, wengine kupata nafuu ya maisha, wengine mazoea, wengine hawakua na namna imebidi tu aoe huyo huyo aliyempata maana hata huyo kumpata ilikua balaa, wengine uzuri, wengine shape etc.
Vingezo wanatiki mbele kwa mbele.
lengo la ndoa ni mgegdo? interesting...