Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sifa kama zangu[emoji41][emoji851]
Hahaha wew unasifa zote...Sifa kama zangu[emoji41][emoji851]
Ngoja niwe msoma comments tu
Mi nafikiri hayo ni mawazo yako binafsi ni sio kosa, ila kwangu kwa ujumla mapenzi ni hisia na sio maisha mazuri au kuvumilia umaskini. Ukipata m/mke ambae ana hisia na ww kila kitu kitaenda poa. Napita Tu.
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam😊Hahaha wew unasifa zote...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zitakuwa nyingi ngoja wenye mavigezo yao wafikeHaziwezi kua nyingi....uzi hauna kaumbeq ndani yake[emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu.....Kuna mzee mmoja alishawahi kuniambia kuwa vjana wengi miaka hii ndoa hazidumu kwa7bu tunaishi na "wake za watu wengine" na sio mkeo. Nilimuelewa sana yule mzee.Upo sawa mkuu...kikubwq ni upendo tu mengine yatanyooka
Mwanamke akikupenda na wewe ukampenda mna enjoy sanaKabisa mkuu.....Kuna mzee mmoja alishawahi kuniambia kuwa vjana wengi miaka hii ndoa hazidumu kwa7bu tunaishi na "wake za watu wengine" na sio mkeo. Nilimuelewa sana yule mzee.
Umeeleweka mkuuWife material siyo Sura . Kwanza angalia uwezo wa kichwa & moyo wa upendo. Mwisho mvumilivu.
Haya sura za Instagram na Facebook yatakuwangisha kichwa.
Hapo matter siyo kutumbua maisha to the fullest. Kama mwanamke ni mtafutaji there is no problem.Mambo vipi wazeeamama na wazeebaba,
Kuna dhana imejengeka sana kwa watu wengi haswa wanaopatikana mataifa yaliyopo matak..ni mwa dunia kuwa mwanamke anaependa umaskini na mwenye kuweza kuvumilia umaskini ndio wife material..
Huwa najiuliza mwanamke anaependa maisha flani ya hali ya juu hawezi kuwa wife material? Kwanini wanawake wanaoshi maisha yao to the fullest tunawaona kama hawafai kuolewa au kuwa na familia,?
Hii ni dhana potofu sana na wengi tunaamini hvyo, kuvumilia umaskini haiwezi kumfanya mwanamke akawa wife material moja kwa moja yapo mengi sana yakuangalia...
Wazeebaba tutiririke ni sifa zipi ukiziona kwa mwanamke wala hujiulizi mara mbili kwenda kwao kujitambulisha?