Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Marinjirinji πππEquation y imepatikana[emoji23]
Lakini kuwa makini mkuu, hata Adam na Hawa walianza kwa kishindo[emoji23]marinjirinji ni mda wowote...
Yupo njiani kuja kuleta ushuhuda
Utadondokewa na kitu kizito tena chenye ncha kali utufie humuKwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'
Mnavyojua tena, sisi wazee mara nyingi huwa tunapenda warembo wachangamfu, wasio umiza vichwa , na wanao jitamu.
Wapo wengi kuna Hannah
Ndio shemeji yetu?Yupo njiani kuja kuleta ushuhuda
πππ
πππAlafu naomba Kwa heshima na taadhima amtaje iyo kuishia na h sio poaπππ
Wapo wachache lakini wengiWapo wengi kuna Hannah
Naona mna nyota ya uwife material hii sio thread ya kwanza kuwahusu na haitokua ya mwisho.πππAlafu naomba Kwa heshima na taadhima amtaje iyo kuishia na h sio poaπππ
Watakuwa wanachanganya mafailiMbona hamuelewek sasa mara huku Kuna mabibi wengine Kuna single mother wengine humu wote ni wanaume tushike lipi πππ
Acha bhana πππjamaa na uyo h wake waje watutake radhiNaona mna nyota ya uwife material hii sio thread ya kwanza kuwahusu na haitokua ya mwisho.
Baada ya muda natabiri kutakua na majina mengi yanayoishia na h π€£
πππ Nimevaa kofia ya chuma, kwa kujihami na kitu chenye ncha kali.Utadondokewa na kitu kizito tena chenye ncha kali utufie humu
Mnapendwa ringeni πAcha bhana πππjamaa na uyo h wake waje watutake radhi