"Wife Material" Mcha Mungu - KARIBU

Filip

Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
66
Reaction score
177
HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏

Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja.

Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE MATERIAL NA PIA ANA HOFU YA MUNGU" ( after evaluating herself) na ana uhitaji wa "MUME" na sio mwanaume basi naomba tuwasilane kwa njia ya Pm ili ikimpendeza Mungu basi aweze kutuunganisha pamoja .

Umri kuanzia miaka 25 hadi 33.

KARIBU SANA 🙏
 
Mganga mzuri hajitangazi
 
Kama ungekua umeshirikisha Mungu, then usingekuja kuweka Tangazo lako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…