Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena
Post sent using JamiiForums mobile app

Kwani lazima kuchepukaWife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena
Post sent using JamiiForums mobile app
Poa mzeeAisee baki njia kuu otherwise yatakayokukuta usije kujutia
Ndo aina ya maisha mnayoishi kwa sasa??hongereni sana.Leo.sina zaidi ya kuwapongeza.Mi mwenyewe juz nimedakwa kama wewe. Mimekoma maana sio kwa kujitetea kule.
Post sent using JamiiForums mobile app
Nyumbani kumeshazoelekaa sana hivyo watu wanataka onja radha nyingineitakuwa ngumu kukubali tena km kajua una mke ila nivizur ukarudisha mapenz kwa mkeo may be kakuepusha na maradh
Post sent using JamiiForums mobile app