Wife kanitibulia kwa mchepuko

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
2,453
Reaction score
2,205
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Mi nadhani ungeomba ushauri kwa mkeo anaweza kukushauri namna nzuri ya kumpata huyo dem ukagonge.
 
Hilo ni dhoruba la kawaida katika uchepukaji mkuu wepanga kikosi upya ukachenjue mchepusho wako
 
Sijui hata unataka ushauri wa aina gani


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe juz nimedakwa kama wewe. Mimekoma maana sio kwa kujitetea kule.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sijui hata unataka ushauri wa aina gani


Post sent using JamiiForums mobile app
Namna ya kumlainisha tena uyu mtoto maana hataki tena kunisikia kashakula vi 10000 vyangu na sijagusa Papuchi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe juz nimedakwa kama wewe. Mimekoma maana sio kwa kujitetea kule.

Post sent using JamiiForums mobile app
Pole zako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pole zako

Post sent using JamiiForums mobile app
Nishasahau ila usiombee maana mtu analala na nguo saba upande haguswi, ukiomba tu unaambiwa ' akakupe huyo mi nimezeeka'

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha haaaa....mkeo mchawi/mshirikina ole wako ukatie nje lazima mgandiane

Post sent using JamiiForums mobile app
Hana lolote ni mkwara tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…