Wife kanifichia simu ?????

Wife kanifichia simu ?????

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,253
Reaction score
10,248
Mimi ni Mmjoa ya wale watu wenye kumiliki Line za Mobile Telecom Operators wote Tanzania ukiacha TTCL na Zantel.
Ni siku ya Alhamis nimerud home, nina tabia ya kuweka simu ama kwenye kabati au karibu na kitanda kwenye kiji meza.
Naamka asubuhi, najiandaa kwenda Job, baada ya ku Breakfastika (Mimi ni mmoja wa Wa Babab wanaopataga Breakfast home kila siku, msiniulize why)
Natafuta simu tayar kwa kwenda Kibaruani, Ya Vodacom naipata (Hii ndo inaniweka Mjini maana mapato yangu karibu 80% yana uhusiano nayo)
Natafuta Ka Nokia kangu double line kenye number zingine sikaoni, nina uhakika kabisa nilikuja nako jana chumbani maana kalizima charge na nilikuwa na mpango wa kuka charge
Namuuliza wife kama amekaona ananijibu hajakaona, naamua kuondoka ki shingo upande upande tu.
Nafika job, napiga mzigo, mchana na m kol wife kumuuliza kama kakaona akaema bado hajakaona.
Nimerud Jion nikakatafuta Chumba kizima hamna, Nyumba nzima hamna, Wife ananiambia "Ujue hata mimi nilitaka ku i browse simu ile jana usiku, sikuiona unapoiwekaga, nikaacha,
Nikaacha kukuuliza coz niliona nitakusumbua.
Kauli hii kidogo ime ring alarm kwa mkichwa wangu, Je inawezzekana wife kaificha kwa kuwa labda ana hisi kuna mawasiliana ya sio "RASMI" nayafanyaga thru that phone??
Nimeamua kuzi Block No zile, kuna kitu kinanituma kuamini kuwa kuna mchezo nachezewa, naweza kuwa siko sahihi, Hebu nipeni Mawazo
 
inawezekana uko sahihi na vilevile inaweza usiwe sahihi.. who knows??
 
km mpo wa2 ndani ni huyohuyo mkeo ndo kaficha na c mwingine bora ulivyo block cunajua c wanawake 2livyo na wivu.
 
kumbe simu nazo huwa zinacheza kombolela!!!
 
Je inawezzekana wife kaificha kwa kuwa labda ana hisi kuna mawasiliana ya sio "RASMI" nayafanyaga thru that phone??
Nadhani jambo la muhimu wewe kutujuza ni je, humo kwenye simu kuna mawasiliano yasiyo "RASMI" mbayo huwa unayafanya?
 
Ndoa ndoano? Msikilize mkeo atakusaidia kimawazo achana na matendo mabaya ndio maana mkeo amestukia bhana
 
Kwanini u-block wakati unajua anayo wife? Basi kuna jambo.Naye alitaka simu si line....umejisumbua kublock bure
 
Mimi ni Mmjoa ya wale watu wenye kumiliki Line za Mobile Telecom Operators wote Tanzania ukiacha TTCL na Zantel.
Ni siku ya Alhamis nimerud home, nina tabia ya kuweka simu ama kwenye kabati au karibu na kitanda kwenye kiji meza.
Naamka asubuhi, najiandaa kwenda Job, baada ya ku Breakfastika (Mimi ni mmoja wa Wa Babab wanaopataga Breakfast home kila siku, msiniulize why)
Natafuta simu tayar kwa kwenda Kibaruani, Ya Vodacom naipata (Hii ndo inaniweka Mjini maana mapato yangu karibu 80% yana uhusiano nayo)
Natafuta Ka Nokia kangu double line kenye number zingine sikaoni, nina uhakika kabisa nilikuja nako jana chumbani maana kalizima charge na nilikuwa na mpango wa kuka charge
Namuuliza wife kama amekaona ananijibu hajakaona, naamua kuondoka ki shingo upande upande tu.
Nafika job, napiga mzigo, mchana na m kol wife kumuuliza kama kakaona akaema bado hajakaona.
Nimerud Jion nikakatafuta Chumba kizima hamna, Nyumba nzima hamna, Wife ananiambia "Ujue hata mimi nilitaka ku i browse simu ile jana usiku, sikuiona unapoiwekaga, nikaacha,
Nikaacha kukuuliza coz niliona nitakusumbua.
Kauli hii kidogo ime ring alarm kwa mkichwa wangu, Je inawezzekana wife kaificha kwa kuwa labda ana hisi kuna mawasiliana ya sio "RASMI" nayafanyaga thru that phone??
Nimeamua kuzi Block No zile, kuna kitu kinanituma kuamini kuwa kuna mchezo nachezewa, naweza kuwa siko sahihi, Hebu nipeni Mawazo

Yaani una line za mitandao yote isipokuw auliotaja? Why all these? Hata mimi ningekuwa yeye ni lazima nikupekue usije kuta naishi na jambazi!!! Ha ha ha!! Imekula kwako mkuu.
 
Mimi ni Mmjoa ya wale watu wenye kumiliki Line za Mobile Telecom Operators wote Tanzania ukiacha TTCL na Zantel.
Ni siku ya Alhamis nimerud home, nina tabia ya kuweka simu ama kwenye kabati au karibu na kitanda kwenye kiji meza.
Naamka asubuhi, najiandaa kwenda Job, baada ya ku Breakfastika (Mimi ni mmoja wa Wa Babab wanaopataga Breakfast home kila siku, msiniulize why)
Natafuta simu tayar kwa kwenda Kibaruani, Ya Vodacom naipata (Hii ndo inaniweka Mjini maana mapato yangu karibu 80% yana uhusiano nayo)
Natafuta Ka Nokia kangu double line kenye number zingine sikaoni, nina uhakika kabisa nilikuja nako jana chumbani maana kalizima charge na nilikuwa na mpango wa kuka charge
Namuuliza wife kama amekaona ananijibu hajakaona, naamua kuondoka ki shingo upande upande tu.
Nafika job, napiga mzigo, mchana na m kol wife kumuuliza kama kakaona akaema bado hajakaona.
Nimerud Jion nikakatafuta Chumba kizima hamna, Nyumba nzima hamna, Wife ananiambia "Ujue hata mimi nilitaka ku i browse simu ile jana usiku, sikuiona unapoiwekaga, nikaacha,
Nikaacha kukuuliza coz niliona nitakusumbua.
Kauli hii kidogo ime ring alarm kwa mkichwa wangu, Je inawezzekana wife kaificha kwa kuwa labda ana hisi kuna mawasiliana ya sio "RASMI" nayafanyaga thru that phone??
Nimeamua kuzi Block No zile, kuna kitu kinanituma kuamini kuwa kuna mchezo nachezewa, naweza kuwa siko sahihi, Hebu nipeni Mawazo

what if umeiacha kwa small house wapi TB..
 
Unajua tuko wawili tu home!!!!

Tena Bramo una bahati sana hata hiyo simu moja uliipata! Huyo mtu aliyekuwa amefichwa na mkeo ndani ndiye aliyechukua na ukimbana shemeji yangu vizuri ataropoka tu.
 
Last edited by a moderator:
Endelea kutafuta utaiona tu...mkeo angekuwa anayo kungeshawaka humo ndani!!..hawanaga subira hawa watu......
 
Back
Top Bottom