Wife kanifichia simu ?????

Wife kanifichia simu ?????

Angalia dirisha lako halijakatwa wavu,kuna wezi hukata wavu na kuondoka na simu kiaina😱hwell:
 
Mkeo hajaificha ila umeiacha kwenye meza ya nyumba ndogo inachajiwa umesahau,na wife huwez kumwambia tena kwan usharud bila cm home! teh teh teh teh teh
 
Inaonekana unauhusiano mzuri na mkeo. Simu ya laini mbili isiwagombanishe. Kama wewe ni muaminifu kwenye mahusiano unawasiwasi gani kuwa atapigiwa? Inawezekana kabisa hujarudi na hiyo simu hm ila kwa kuwa umezoea kuja nayo na kuiweka hapo kichwani records zinabakia hizo. Naona ununue ka simu kengine weka laini yako ilele maisha yaendelee na wala usimsumbue mkeo unamkwaza bure!!!!
 
Back
Top Bottom