Wife Anazingua

Wanawake wengine bwn...mwambie kama anamrudisha afanye process yeye...awapigie alikomtoa awaeleze sababu mkiwa wote na baadae atoe nauli yake mwenyewe usihusike na chochote. Baada ya hapo asikwambie chochote kuhusu hgl hata kama amejifungua apige kazi mwenyewe..
Wanawake wengine pasua kichwa tu
 
nadhan hzo zitakuwa hacra za mimba zinamzingua isitoshe akifikiria hali yake ya ujauzito anahic kuna cku utatoka nje ya ndoa na kimbilio la karibu ni hyo hg hii ni kutokana na matukio meng ya hg kuharib ndoa za watu,cha msing kaa nae zungumza taratib akuelewe na umfanye akuamin na asiwe na wazo la kumsaliti
 

Mimba haina hasira acha kudanganya ni tamaduni zetu na tumejipelekea kuamini hivyo..na mwanamke akijua kuwa unachukulia hivyo itakula kwako
 
Afu siku nyingine mambo ya recruitment ya mahuc gel inafanywa na mama...wewe hiyo c o business yako wewe ni kufacilitate tu..mama anachagua wewe unawezesha afike hom na c rafiki yako kwa lugha nyepesi..

Haswaaa. Mimi nilishaacha siku nyingi kujiingiza kurecruit hsg
 
Imekaa hivi
  • Nina mtoto mmoja wa ujanani (5) Sikuzaa na mke wang
  • Wife mjamzito (Mimba ya 1)
  • Wife ni mama wa nyumbani

aiseeeee
kuna wanawake wasumbufu balaa
ss km yy yupo hom tu hg wa nn saiv, unless akishajifungua.

btw huyo ana wivu na hivi ni mama wa nyumbani ndo kabisaaaa.

isimrudishe kwao , haitaleta picha nzuri lazima tuwe na ubinadamu jamani mpeleke kwa wengine wanaomhitaji
 
Kaka nakushaur uachane na hayo mambo ya nyumban. Na usirudie tena kumtafutia h.g kwan inavyoonekana wife ana wivu sna.akilalamika kazi zinsmchosha wewe kimyaaaa!!!! Akichoka atamtafuta mwenyewe. Pia amekuvunjia heshma kukuhis unamtaka bek tatu. Mbona mie my hb alinitafutia na tunaish kwa aman? Nipen mie jaman namtafuta hg wa pili.
 
Imekaa hivi
  • Nina mtoto mmoja wa ujanani (5) Sikuzaa na mke wang
  • Wife mjamzito (Mimba ya 1)
  • Wife ni mama wa nyumbani

Pole sana mkuu. Mimi nina uzoefu na mambo haya. Kinachomsumbua mkeo ni wivu tu na pengine hali hii imechangiwa kwa kiasi fulani na ujauzito alionao. Wanawake wengi huwa wanaathirika kisaijokolojia wanapokuwa wajawazito kwa kujihisi hawana mvuto kwa waume zao. Inawezekana kuwa mkeo akimuangalia HG anakosa imani kabisa na kuhisi kuwa unamuona binti huyo ana mvuto kushinda yeye. Mkeo anahisi ama HG ameshamchukulia au yuko mbioni kumchukulia 'mali' zake. Ili kuilinda ndoa yako, ni vyema ukatimiza matakwa ya mkeo na kumrudisha huyo HG kwao.
 
namashaka housegirl mnatumiwa email....loh! ina onyesha housegirl NI Mzuri sana, mpaka WIFE Anaogopa
 
motto wa kihaya...ila hilo la kukwepa kukupanda kichwani nalo neno
 

Kwa hili la Hgirl wala usivuruge ndoa kwa ajili ya Hgirl! Itakubidi uwe mpole na kuwaelimisha wale wote waliohusika wewe kumpata huyo Hgirl, waeleweshe wataelewa tu! Kingine jitoe rasmi ktk michakato ya kutafuta ma-Hgirl, wewe ibaki kuwalipa tu! Hapo ktk blue inaonyesha shemeji ana shida kidogo! Nafahamu wapo wanawake wa sample hiyo, hupenda kuwa juu ya wanaume, nimeshawaona sana hawa! Hilo litafutie dawa yake taratibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…