Wife anakukera kwa kutaka uwepo home all the time? Mwarubaini huu hapa...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Sio kwamba nina nia mbaya na ndoa za watu, bali baadhi ya wanaume sometimes wanapenda wawe out separately, ama na friends au kwa raha zao lakini bila kuharibu upendo na umuhimu wa mke na familia kwa ujumla.
Tatizo ni kuwa baadhi ya wanawake wanakaba sana, yaani ukitoka kivyako ni hadi ujibu maswali, na ukijifanya kichwa ngumu tena ujue mnuno kwa kwenda mbele. Jamaa yangu alikuwa anatumia kisingizio kuwa anakwenda kuangalia mech (hom hawakuwa na DSTV), of coz kweli alikuwa anakwenda kuchek mech, lakini sometimes hata akiwa na mitikas mingine hicho ndo kilikuwa kisingizio, sometime hadi usiku (sio usiku saana, akizidisha saa nne).

Baadae waifu wake kaamua kuzibiti na hilo kwa kumshinikiza jamaa anunue DSTV dish, ili wawe wanachekia hom wote, hasa mech za jioni sana.

Jamaa alinunua, na akabanwa sawasawa. Baadae alikuja kugundua ujanja, kwani alishtukia waif na watoto pale wanapenda vitu vingine kama tamthilia, na vipindi, sijui bongo star search, tusker project, maigizo n.k. Kwa hiyo alichofanya mshakji ni kuwa all the time akijua wanachek wanachopenda, anakwenda sebuleni, anachun, superspot au channel nyingine ya michezo hata kama ni recorded. Pia akawa anashangilia kwa midadi na makelele. Haikupita mda, waif, kwa upole akawa anasema, baba nanihii, kama vipi bas tuachie we nenda kachek baa. Maana kwanza sisi tunakosa raha, alaf we na makelele yako yanaamsha mtoto, tena unasema na matusi utaniharibia watoto (jamaa sometimes katika kushabikia unakuta anapayuka ...'HUYU MSHENZI KABISA, UTAPIGAJE MPIRA VILE'... n.k)

Kwa hiyo from there akawin, yani akitaka kutoka tu, 'naenda kuchek mech, itaisha kama saa tatu na nusu'... Badae hny...
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!!
 
Kwa nini umeanza kutoa siri zetu wewe aaaaaagh ushaharibu, mie nlishapanga leo naenda check mech sasa ishagundulika aaaagh
 
Halafu na wewe Tuko haufai siri kama hizi inabidi uzitume PM sasa umeweka public bana wewe unaharibu sasa
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!!

Huyo wa hivyo anakuwa anakupa respect yako zaidi, ni washikaji and nothing more than washikaji
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!![/QUOTE

Maneno yako swadakta kabisa
 
Aiseee.....hii kali sana, huyo rafiki atakuwa genius saaaaaaaaaaaaaaaana
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!!

Haswaaa mpenzi. Nakubaliana na wewe kabisa mradi ajue limit yake maana mwwigine ukimpa uhuru huo anautumia vibaya. Lol

Rafiki yangu alikuwaga anatoa visa bila hata kujali matokeo yake after a while mume ana nyumba ndogo ilokomaa yenye mtoto wa mwaka mmoja na mdogowe tumboni. NA kila mara baba alikuwa anaaga kwenda kucheck mechi kumbe alikuwa aenda icheza kabisaaa........... Ninachoshauri uhuru uwe na limit.

Kuna mtu alishawahisema uhuru ni utumwa... kosa tunalolifanya ni kutoa uhuru ambapo baadhi wanashindwa kuutumia ipasavyo
 
Halafu na wewe Tuko haufai siri kama hizi inabidi uzitume PM sasa umeweka public bana wewe unaharibu sasa

Itabidi afanye homework ya kuhakikisha The Finest si mkaka ni mdada lol maana hakawii kumruka Asprin akidhani ni Da Sophy
 
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: naona mkoloni wako wa leo ni mzee halafu kasinzia
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!!
Unastahili pongezi na zawadi juu yaani kama ulizaliwa kwenye generation ijayo kwa jinsi ulivyo na busara!!!
 
Jamaa alinunua, na akabanwa sawasawa. Baadae alikuja kugundua ujanja, kwani alishtukia waif na watoto pale wanapenda vitu vingine kama tamthilia, na vipindi, sijui bongo star search, tusker project, maigizo n.k. Kwa hiyo alichofanya mshakji ni kuwa all the time akijua wanachek wanachopenda, anakwenda sebuleni, anachun, superspot au channel nyingine ya michezo hata kama ni recorded. Pia akawa anashangilia kwa midadi na makelele. Haikupita mda, waif, kwa upole akawa anasema, baba nanihii, kama vipi bas tuachie we nenda kachek baa. Maana kwanza sisi tunakosa raha, alaf we na makelele yako yanaamsha mtoto, tena unasema na matusi utaniharibia watoto (jamaa sometimes katika kushabikia unakuta anapayuka ...'HUYU MSHENZI KABISA, UTAPIGAJE MPIRA VILE'... n.k)

Kwa hiyo from there akawin, yani akitaka kutoka tu, 'naenda kuchek mech, itaisha kama saa tatu na nusu'... Badae hny...
hahahaaaa... i did it once some years ago, na nikapata viza saa nne usiku
 
Hawa wanadhani visingizio ni mechi ya soka pekee yake...

Kuna .............na...........halafu ukiwa unaenda kwenye...........unaaga unasema............

Hizo minutes huwa tunzatioa kwenye vikao vyetu muhimu tu. hapa jamvini :nono::nono::nono:
 
Back
Top Bottom