WickerSpecial, C++ Pack

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
Just to give it out to the people in need, nimekua nikipata request nyingi kuhusu Books za C++, So for the end-of-the-year`s sake nimeona ni bora to just give them all away. Nimekusanya a collection of almost 70+ books on C++ vipo vya advanced, intermediate na beginners... Click on the Link below to download them...

http://tinyurl.com/wickerspecial-fixed

:msela:HAPPY LEARNING!:msela:​
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,962
2,000
wickerman jf store ndio mahala pa kushea vitabu na vitu vingine. huku ni kupeana tips tricks na related matters about technology, gadgets, and science in general

hata jf store watu wa huku uwa wanakuja kwa wingi huko
 
Last edited by a moderator:

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
wickerman jf store ndio mahala pa kushea vitabu na vitu vingine. huku ni kupeana tips tricks na related matters about technology, gadgets, and science in general

hata jf store watu wa huku uwa wanakuja kwa wingi huko
Poa poa mkuu, nimekusoma
 
Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,028
1,500
Just to give it out to the people in need, nimekua nikipata request nyingi kuhusu Books za C++, So for the end-of-the-year`s sake nimeona ni bora to just give them all away. Nimekusanya a collection of almost 70+ books on C++ vipo vya advanced, intermediate na beginners... Click on the Link below to download them...

http://tinyurl.com/wickerspecial

:msela:HAPPY LEARNING!:msela:​

Be blessed brother, nimevipata. Vipo vya kutosha kabisa. Sasa hapa kazi ni kwangu tu kupiga msuli.
 
ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,410
0
Just to give it out to the people in need, nimekua nikipata request nyingi kuhusu Books za C++, So for the end-of-the-year`s sake nimeona ni bora to just give them all away. Nimekusanya a collection of almost 70+ books on C++ vipo vya advanced, intermediate na beginners... Click on the Link below to download them...

http://tinyurl.com/wickerspecial

:msela:HAPPY LEARNING!:msela:​

View attachment 129137 View attachment 129137 mbona kwangu inaleta hiyo meseji!!!
 
Abdmas007

Senior Member
Dec 8, 2011
122
195
nikifungua hiyo link nakutana na huu ujumbe

[h=1]Error (509)[/h]This account's public links are generating too much traffic and have been temporarily disabled!
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
hata mimi nna shida hiyo...labda tumngojee mkuu wickerman aje aturekebishie link!!
nikifungua hiyo link nakutana na huu ujumbe

Error (509)

This account's public links are generating too much traffic and have been temporarily disabled!

Dropbox walikuwa wanazingua kuhusu bandwidth ila nimehamishia file GoogleDrive, hope itawork..., tumieni hyo updated link kwenye thread
 
tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
195
Just to give it out to the people in need, nimekua nikipata request nyingi kuhusu Books za C++, So for the end-of-the-year`s sake nimeona ni bora to just give them all away. Nimekusanya a collection of almost 70+ books on C++ vipo vya advanced, intermediate na beginners... Click on the Link below to download them...

http://tinyurl.com/wickerspecial-fixed

:msela:HAPPY LEARNING!:msela:​

nashukuru kwa moyo wako ila mkuu ebu tusaidie kwa kuviweka kwa makundi (matatu) kulingana na sifa advanced, intermediate na beginners...
mfano mimi nataka vya begginer
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
nashukuru kwa moyo wako ila mkuu ebu tusaidie kwa kuviweka kwa makundi (matatu) kulingana na sifa advanced, intermediate na beginners...
mfano mimi nataka vya begginer
Dah, mkuu, itanilizamu nipitie kimoja kimoja, and kwa kwel sina huo muda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom