Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Kuna miguno na mihemo plus maneno ya kumuongezea mwenzi wako appetite ya kuduu, (both sides)...mara nyingi wanaume wengi ujisahau na kupeleka mchezo kimya kimya bila hata kumshow mwenzi wake kwamba anaenjoy whatever anachofanyiwa..hata kumsifia tu mtoto wa watu alivyo mtamu au wild when it comes in that act hakuna..imajine ingekuwa ni ww umetengewa hapo bila hata asssh! Ungesemaje,kwangu mimi sizani kama naweza hata kwenda round one...women moan simply to kunogesha mchezo,ila wanatofautiana kwenye ku moan..ukiwa big headed na their style of moaning unaweza ukazania umemkomesha kumbe unajikomesha mwenyewe.