Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Kijeshi fdrl sio tishio kwa slim ila kisiasa ni tishoVita huwa ni akili kwanza, Kama Kagame aliwazidi akili basi akili zilezile bado anazo.
Si ajabu hata kwenye ranks za FDLR huko waliko msituni wameshakuwa infiltrated na vijana kibao loyal kwa Kagame
Sent using my iPhone using jamiiforum app