Why we fought Rwanda in Congo

Why we fought Rwanda in Congo

Safi saaaana kumbe RNC wameshaunda kundi tayari dah
Sasa ngoja na fdrl tuuze mkaa tupate pesa ya kununulia silaha na uhakika Rubavu tunaichukua kwa single day aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
M7 hawezi kumsamehe PK labda PK ajirudi sana. Ukisoma hiyo taarifa utaona uchungu wa M7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi saaaana kumbe RNC wameshaunda kundi tayari dah
Sasa ngoja na fdrl tuuze mkaa tupate pesa ya kununulia silaha na uhakika Rubavu tunaichukua kwa single day aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Si rahisi kumtoa PK kupitia waasi labda JWTZ wajiingize lakini kupitia UPDF ( vita ya nchi kwa nchi) itakuwa nyepesi kwasababu ya ile military mobilization kinchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchora ramani mkuu ukimaanisha nini mkuu?

Maana kama ni intelligence unit ni huyo pk ndiye aliyekua anaiongoza na michoro yote ya Nra kufanya mashambulio alikua ndie mtoa data.

Unajua lkn walipigana Kisangani on and off for months?mpk ile kisangani 3 waliyopigana for 6 days ndipo Updf wakapigwa na kuachia mji.So hizo zote mara 3 PK alikua anamgeuka bro wake?

By the way umeona leaked letter ya M7 akimuandikia PK khs yeye kukutana na hao waasi wa RNC huko Uganda wkt alikua anakataa hajawahi kukutana nao?na hii ni baada ya picha ya passport ya mmoja wa viongozi RNC kuwekwa hadharani akiwa amepewa passport ya Uganda.Kwa style hio huoni mzee anazingua?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee muache tu anajifanya mjanja akisubutu tu!hataelewa nni kimetokea huko.
Mzee kigeugeu!
 
Listen to this!!😡a country with corruption can't win the war!!!!
I repeat :A country with corruption can't win the war!.

Mwenye Akili Ataelewa.
 
M7 yeye MaGenociders alikua akiwapa hifazi tu!!na ma passports.


As of 7 April 1994, killings of the civilian Tutsi population, which was preceded on many occasions by rape, sexual violence and other crimes of a sexual nature, were carried out by civilians and soldiers under orders from Mpiranya as were the murders of numerous political opponents,
In July 1994, faced with the advance of the troops of the FPR (Rwandan Patriotic Front, an opposition movement composed essentially of Tutsi refugees and led by Paul Kigame), Mpiranya fled Rwanda most probably towards the Democratic Republic of Congo. As of today’s date, he has still not been arrested.
LEGAL PROCEDURE
Protais Mpiranya fled Rwanda in July 1994. As of today’s date, he has still not yet been arrested.
On 11 June 2002, the United States conducted a major media campaign in Kenya aimed at the capture of several men wanted by the ICTR one of which being Mpiranya. Although the American federal programme “Rewards for Justice” had already been used in an attempt to find persons indicted by the International Criminal Tribunal for the former Yugoslavia, this was the first time it had been used against persons under accusation by the ICTR. A reward of up to $ 5’000’000 was put on offer for information leading to the arrest of Mpiranya.
Based on an amended bill of indictment dated 25 September 2002, Mpiranya was indicted on 11 counts. He was accused of, “conspiracy to commit genocide”, of “genocide” or in the alternative of “complicity in genocide”. He was also accused of “murder as a crime against humanity”, of “murder as a crime against humanity” for the assassination of the 11 Belgian soldiers of the UNIMAR of “extermination as a crime against humanity”, of “rape as a crime against humanity”, of “persecution on political, racial or religious grounds as a crime against humanity” and of “other inhumane acts as a crime against humanity” as well as various war crimes.
Mipiranya was originally indicted together with four other persons (Augustin Bizimungu, Augustin Ndindiliyimana, Innocent Sagahutu and François-Xavier Nzuwonemeye.
On 20 August 2004, due to the fact that he had still not been arrested, the Second Trial Chamber of the ICTR, on the request of the Chief prosecutor, ordered the separation of the trial concerning Mpiranya from that of the four other defendants.
In June 2012, special deposition hearings were conducted in order to preserve evidence for future use when Mpiranya would be arrested.
On 1 August 2012, the case of Mpiranya was transferred to the International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRM) created by the UN in December 2010 to assume some functions of the ICTR and ICTY after the end of their mandate including tracking, arresting and judging the 9 fugitives still wanted by the ICTR.
 

Attachments

  • Mpiranya.jpg
    Mpiranya.jpg
    109.2 KB · Views: 51
Vita za myaka ya 1986 siyo za sasaivi! Dunia imechange, anaekuzidi Akili na uwezo anakuzidi! .as simple as that.
 
Kuna vingi kule Rwanda inavitafuta
Sasa binafsi nashindwa kuelewa Rwanda inatafuta nini DRC
Stori inasisimua mno. Alafu hii vita inasemekana UPDF walipoteza askari zaidi ya 2000 kwa mujibu wa habari za mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwahiwa unakua huna ujanja, ingawa hata RDF nao walipoteza ila si kwa idadi hy
Safi saaaana kumbe RNC wameshaunda kundi tayari dah
Sasa ngoja na fdrl tuuze mkaa tupate pesa ya kununulia silaha na uhakika Rubavu tunaichukua kwa single day aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, Richard irakunda ujue huwa unanifurahisha sana

MTC | 101| [emoji769]
 
Unaota! ! Na utaendelea kuota hadi unakufa.
Butare,gisenyi na Rubavu hiyo tunaikamata
Kiurahisi saana tukitokea nyungwe forest maana tayari tumeshajichimbia hapo nyungwe tunasoma upepo

Alafu ukumbuke kuwa kikosi cha mizinga cha UPDF wana brigade rushenyi sasa ruhengeri na nyagatare updf watazikamata kwa masaa sita tu alafu tunaanza safari ya kuifukuzia chigale from kinazi na tumba[emoji23][emoji23]


Mwisho wa ndoto




Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hahaha,we jamaa bana ,mchonganishi sana ,mie sipendi Vita najua madhara yake
Butare,gisenyi na Rubavu hiyo tunaikamata
Kiurahisi saana tukitokea nyungwe forest maana tayari tumeshajichimbia hapo nyungwe tunasoma upepo

Alafu ukumbuke kuwa kikosi cha mizinga cha UPDF wana brigade rushenyi sasa ruhengeri na nyagatare updf watazikamata kwa masaa sita tu alafu tunaanza safari ya kuifukuzia chigale from kinazi na tumba[emoji23][emoji23]


Mwisho wa ndoto




Sent using my iPhone using jamiiforum app

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahahaha ,hilo siwezi km lawezekana

MTC | 101| [emoji769]

Inawezekana kutokana na nafasi ya Uganda kwa Rwanda. Uganda ku support rebeals against Chigali ni hatari na inaweza kuwa destabilize kwa muda mrefu.
 
Muda tayari ila fdrl ndio wanaotuangusha hawa fdrl ndio wapo moyoni kwa wanyarwanda (kumbuka hawa ni jeshi halali kabisa) trust hawa wakipata kiongozi mzuri PK hana chake

RNC sina imani nao kwanza ni kundi la mafisadi walioshindwa kuendana na kasi ya PK
Hahahaha, najua hilo ,ila ' Muda' bado ingawa unakaribia

Wanasema "kumchinja Kobe timing'

MTC | 101| [emoji769]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Muda tayari ila fdrl ndio wanaotuangusha hawa fdrl ndio wapo moyoni kwa wanyarwanda (kumbuka hawa ni jeshi halali kabisa) trust hawa wakipata kiongozi mzuri PK hana chake

RNC sina imani nao kwanza ni kundi la mafisadi walioshindwa kuendana na kasi ya PK

Sent using my iPhone using jamiiforum app
W

Wako moyoni mwako kwasababu ni kaka zako na sio myoyoni mwa wanyarwanda .
Hao kazi yao ni kula ngedere mstuni huko na kuiba kwenye mashaba ya wa congoman tu.
 
Back
Top Bottom