Why we fought Rwanda in Congo

Why we fought Rwanda in Congo

W

Wako moyoni mwako kwasababu ni kaka zako na sio myoyoni mwa wanyarwanda .
Hao kazi yao ni kula ngedere mstuni huko na kuiba kwenye mashaba ya wa congoman tu.
Ndio ni kaka zangu pia ni jeshi halali la wananchi wa Rwanda walikula kiapo cha kuirinda rwanda

RNC wakianzisha sisi tunamaliza kituo cha kwanza Rubavu then tumba alafu chigale tunaingia bila mapambano maana slim atakuwa ameshakimbia

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Mie nakuelewa vzr sana ,tena sana ,kuhusu muda nadhani ndio unakaribia ila bado kdg

Mie mtanikuta kanombe na vijana wangu
Muda tayari ila fdrl ndio wanaotuangusha hawa fdrl ndio wapo moyoni kwa wanyarwanda (kumbuka hawa ni jeshi halali kabisa) trust hawa wakipata kiongozi mzuri PK hana chake

RNC sina imani nao kwanza ni kundi la mafisadi walioshindwa kuendana na kasi ya PK

Sent using my iPhone using jamiiforum app

MTC | 101| [emoji769]
 
Watu wengi wanawaona fdrl kama wachovu lkn mm naamini slim ni mwepesi zaidi na awe mpole tu kwa m7 maana huyo ndio ngao yake
Mie nakuelewa vzr sana ,tena sana ,kuhusu muda nadhani ndio unakaribia ila bado kdg

Mie mtanikuta kanombe na vijana wangu

MTC | 101| [emoji769]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Na hapa ndipo walipokua wamebugi step ,kuruhusu wale wajeda RPF kuingia Kigali mapema ,ingawa ilikua ni sehemu ya makubaliano
RDF (fdrl) walipoteana baada ya kifo cha juvenile
Pia PK aliwazidi akili tokea mwanzo maana kulikuwa na RPF (special force) zaidi ya 1500 chigale

Sent using my iPhone using jamiiforum app

MTC | 101| [emoji769]
 
Ndio ni kaka zangu pia ni jeshi halali la wananchi wa Rwanda walikula kiapo cha kuirinda rwanda

RNC wakianzisha sisi tunamaliza kituo cha kwanza Rubavu then tumba alafu chigale tunaingia bila mapambano maana slim atakuwa ameshakimbia

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Kwahiyo we unamuogopa slim wako huyo tu! Kwan yeye ndio anapigana? Au utapigana na jeshi?roho zenu chafu! Mikono yenu ina damu! Mnawaza kuua tu!kaue wa Congo man huko ila Rwanda ni moto wakuotea mbali! Alfu ukute unajiita raia wa Tanzania! Au uko mistuni huko Congo? Kama huna hatia si urudi nchini mwako?na kama ulihusika njoo ukatumikie kifungo chako ukimaliza uendelee na maisha kama wengine.
 
Slim ndio hataki turudi kama chama cha siasa why?

Acha tuendelee kuchoma mkaa tupate pesa huku tunasoma game kati ya UPDF au RNC nani atakianzisha sisi tumalize

Pia tuna chaguo lingine la kuangaria raisi ajae wa rwanda ni Nan mtusi au muhutu au mtampa MTWA ili kubalance show

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
RDF (fdrl) walipoteana baada ya kifo cha juvenile
Pia PK aliwazidi akili tokea mwanzo maana kulikuwa na RPF (special force) zaidi ya 1500 chigale

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Vita huwa ni akili kwanza, Kama Kagame aliwazidi akili basi akili zilezile bado anazo.
Si ajabu hata kwenye ranks za FDLR huko waliko msituni wameshakuwa infiltrated na vijana kibao loyal kwa Kagame
 
Na hapa ndipo walipokua wamebugi step ,kuruhusu wale wajeda RPF kuingia Kigali mapema ,ingawa ilikua ni sehemu ya makubaliano

MTC | 101| [emoji769]
Pia ndani ya fdrl nidhamu na motisha ilishuka pakatokea makundi makundi

Ila trust me PK bila m7 mwepesi saaana maana najua hata upanga hawamtaki

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Pia ndani ya fdrl nidhamu na motisha ilishuka pakatokea makundi makundi

Ila trust me PK bila m7 mwepesi saaana maana najua hata upanga hawamtaki

Sent using my iPhone using jamiiforum app

JK aliendesha operesheni Kimbunga na kumuonyesha Kidogo Kagame kuwa tunaweza kuwa mabandidu kwelikweli tukiamua. Sikusikia akilalamika kuwa raia wake wananyanyswa TZ kama anavyomshutumu Museveni leo kuwa Wanyarwanda wanaonewa Uganda.
Wanyarwanda ni watu wazuri sana, nawapenda sana tena ni watu wakarimu sana, ila Mr Slim tatizo lake anapenda sana fujo, ubabe na kunyenyekewa
 
Wanyaru ndio ni wapole lkn kabila la slim ni janga

Slim huwa na tabia ya kupima msimamo wa maraisi wenzeka na ukimchekea anakuzoea vibaya

Back
Top Bottom