mafinga kwetu
Member
- Nov 21, 2010
- 35
- 3
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali ambavyo haziwasaidii watanzania ipasavyo?
6-Hawaridhiki na utendaji kwa ujumla?
7-Wanajua walivyotakiwa kupata na kufanyiwa na serikali lakini havifanyiki?
Ninahitaji mchango wako mdau wa JF.......
Wasomi wengi hawaoni faida ya usomi wao coz ya sera za CCM na kujuana kwao. Wasomi wengi from poor and normal families wamejikuta kwenye wakati mgumu after finishing education, hamna ajira bila kujuana au ajira zipo ila hakuna vitendea kazi so muda mwingi wanakaa tu bure maofisini eg Mainjinia, madaktari na watafiti mabali mbali. Au mwisho wa siku inabidi na wewe uache maadili na kujiingiza kwenye system mbaya ya CCM kufuja mali za serikali ili uishi.
Ni mengi sana ila kwa kifupi Matarajio ya wasomi wengi kutoka kwa serikali ya CCM hayatakaa yapewe kipaumbele coz CCM ni chama cha wajinga na wenye elimu feki. Maprofesa wengi wa ukweli waliopo CCM ni maskini wa kutupw ukilinganisha na vihiyo wliojazana CCM kufuja mali za taifa. Moto unawasubiri Jehanamu na hizo mali mnazojilimbikizia mtakufa na kuziacha. Tena wengi wenu mnakufaga vifo vya ghafla hadi raha na wala hatutawakumbuka katika historia ya nnchi hii.:redfaces:
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali ambavyo haziwasaidii watanzania ipasavyo?
6-Hawaridhiki na utendaji kwa ujumla?
7-Wanajua walivyotakiwa kupata na kufanyiwa na serikali lakini havifanyiki?
Ninahitaji mchango wako mdau wa JF.......
Una maana wale wa Dodoma sio wasomi?
Madokta wengi wa zahanati au......please
afadhali umekiri kwani madokta wengi wa zahanati ni wezi wa dawa na ni wana CCM .... ndiyo maana kuna Prof. majimarefu... ndio ulikua una maana hiyo au.....