Mimi sio mchumi lakini nimesoma sehemu wanasema: "Exchange rates fluctuate based on economic factors like inflation, industrial production and geopolitical events. " Hii inaweza ikawa inachangiwa na la political event kama hii inayokuja ya general election. Dollar kidogo mi-shilingi kibao kwa ajili ya kununua kura!
THAT WAS 20 years ago,Tanzania as a country has changed a lot,If the government releases the economy to SME's and private enterprenuers these things can be taken care of very easily.Kama watu wameweza kuendesha yadi za magari,biashara za ndege na Mahoteli sidhani kama watashindwa kufanya shughuli za uzalishaji.
Kwa sasa hakuna faida ya mjasiriamali kuwfanya uzalishaji wakati angeweza kununua kutoka china kwa gharama NAFUU.
Wapunguze gharama za Nishati,wahakikishe kuna Special economic zones za kuchochea uzalishaji(ziwe exclusive to Tanzanians only.).US wana silicon valley.China wana Special economic zones zao kama SHENZEN etc.
Hapo kwenye technical knowhow,HAKUNA technical KNOWHOW yoyote inayohitajika kwenye kutengeneza tai,suti,viatu ambayo mafundi waliokuwepo Tanzania hawana,It is easier kuimporty etchnical knowhow.,and it is economically viable in the longterm kuliko kuagiza ready made junks.
Nimeongelea assembling factories,entry level factories etc.hivyo tunaweza.
Mwanamayu,
Inflation kwa uchache ni scarcity ya commodity kwenye soko. Waweza ukawa na fedha ile ile na thamani ile ile lakini ghafla ile bidhaa inayotaka kupatikana ikakosekana, unatokea mfumuko wa bei. kwa mfamo, wakati wa mwezi Desemba, karibu na Xmas, kwenda Mikoani, nauli za mabasi hupanda kwa sababu supply inakuwa ndogo. When there is no scarcity inflation inakuwa haiumizi sana...na badala yake kunakuwa na soko huria...kila mtu atapanga bei kuvutia wateja...ndio tunayoyaona kwenye makampuni ya Simu sasa.
Industrial production tushalizungumzia... Kuhusu geopolitical events...hii husababisha sana devaluation katika nchi zenye political instatibility... watu wakiona zengwe linaweza kutokea, wata sita kufanya biashara na nchi yenu...wataogopa kuleta fedha zao hapo na kusababisha scarcity ya dola (foreign currency); hivyo demand kuwa kubwa na kuporomosha fedha ya ndani.
Transactions zinazofanyika SHOPRITE zinachukua asilimia ngapi ya transactions zote zinazofanyika Tanzania?tusipigie kelele some leite malls wakati mtanzania wa kawaida anafanya manunuzi kariakoo,tandale,etcwawekezaji wanaruhusiwa kuja au kununua kila kitu kutoka huko kwao hata samani.China kwa mfano ata uwe diplomat uruhusiwa kwenda na samani. wao wanajilipa pesa za kigeni, sheria zetu zinawaruhusu wasafirishe fedha kiasi chochote kwenda kwao.account zao ziko kwao.maana yake ni kwamba wanaishi tanzania lakini hawatumii shilingi.Dola kidogo tunachopata kutoka kwenye kusafirisha bidha za kilimo viongozi wetu wanaosafiri kila leo, magari hayo ya kifahari na wafanyabiashara wetu wanoagiza kila kitu inabidi wagawane hicho kidogo matokeo yake ni shilingi lazima ishuke tu.wengine wanasema shoprite kutumia dola si mbaya sasa mkuu wanatumia dola alafu hayo makusanyo yanasafirishwa Africa ya kusini na watu wetu wa madini wananunua kila kitu huko kwao sasa sisi dola tutapata wapi.Serikali ijitahidi basi wainue kilimo na SME, hawa tunauhakika nao kwamba wakiuza nje lazima warudishe Dola kulipia wakulima au wateja wao. hawa wakubwa hawana shida na Shilingi yetu.