weee vipi kwani mwanaume ndio ana enda ku-abort sii demu. alafu kwanza woman ndio yupo responsible 100% katika kutunga kwa mimba au lah...demu kama hataki mimba ndugu yangu mwanaume atakuwa anatwanga maji kwenye kinu literally
Mwanamke anahusika 100% kufanya maamuzi juu ya mahusiano! Tena especially kujilinda na maradhi na pili kupanga uzazi. Dumb galz! Ngono n'zembe hazikubaliki wadada!
hii ni kwa pande zote mbili,mwanaume asiwe chanzo cha kupatikana mimba bila mipango na kusapoti katika utoaji inapotekea ikapatikana,wanawake wkipata mimba wasifikirie kutoa bali waanze kujiandaa na kujipanga jinsi ya kumlea kiumbe huyo.