Ukitaka kujua mke wako atazaa mtoto wa jinsia gani fanya hivi,mchukue mtoto wa miaka miwili wa kiume mwambie amlalie mke wako juu ya tumbo lake,ukiona ako katoto kana kunja miguu yake ujue atamzaa boyfriend na kama ako katoto hakata kunja miguu ujue atazaa wale wanao vaa naiti dress mchana wk end njema Maria roza nimekumiss kule kwa usiku wa manane powaaaaa.