"Why the UN Can't Solve the World's Problems"

"Why the UN Can't Solve the World's Problems"

Unajua watu humu huwa wanataka kutuaminisha kwamba Israel ndo kila tu.

Kwamba hata eti USA isingekuwa USA bila ya Israel.

Tena huwa wanatuambia kwamba eti Waisrael ndo wanashikilia uchumi wa dunia.

Sasa mapigano ya wiki tatu tu na kundi (si jeshi) la HAMAS tayari washaanza kuishiwa?

Halafu USA ndo wana replenish hizo ammo? Ina maana basi Israel haijitoshelezi, siyo?

Kwa kweli Israel wasingekuwa wanapigwa tafu na Marekani basi wangekuwa wameshachakazwa kitambo sana.

I mean, HAMAS wana silaha gani za kutisha? Mpaka sasa washaua askari 60 na kitu wa Israel wakati Israel inaua raia tu tena wasio na hatia.

Mbona hatusikii Israel ikiwaua mashujaa wa HAMAS?

Aisee HAMAS kiboko....talk about bravery then look no further than HAMAS.

Na je Islamic Jihad na Hezbollah wakiamua kuwapa tafu HAMAS Israel itabaki kweli?

Israel is killing the desert rats.
 
Kuna watu hapa huwa wanaandika bila hata ya kuwa na facts. Wamesikia tu vijiweni Israel hivi Israel vile basi mtu anakurupuka na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote.

Unajua watu humu huwa wanataka kutuaminisha kwamba Israel ndo kila tu.

Kwamba hata eti USA isingekuwa USA bila ya Israel.

Tena huwa wanatuambia kwamba eti Waisrael ndo wanashikilia uchumi wa dunia.

Sasa mapigano ya wiki tatu tu na kundi (si jeshi) la HAMAS tayari washaanza kuishiwa?

Halafu USA ndo wana replenish hizo ammo? Ina maana basi Israel haijitoshelezi, siyo?

Kwa kweli Israel wasingekuwa wanapigwa tafu na Marekani basi wangekuwa wameshachakazwa kitambo sana.

I mean, HAMAS wana silaha gani za kutisha? Mpaka sasa washaua askari 60 na kitu wa Israel wakati Israel inaua raia tu tena wasio na hatia.

Mbona hatusikii Israel ikiwaua mashujaa wa HAMAS?

Aisee HAMAS kiboko....talk about bravery then look no further than HAMAS.

Na je Islamic Jihad na Hezbollah wakiamua kuwapa tafu HAMAS Israel itabaki kweli?
 
Dunia imenyamaza kimyaaa kwasababu wanaoliwa huko palestine ni panya......
 
Wanaokufa Gaza si panya ni Binadamu kabisa Dunia imenyamaza tu kwa sababu binadamu hao wanatumiwa tu kama chambo ili watu wa-post picha za watoto waliokufa ili angalao jumuia ya kimataifa ziwaonee huruma pamoja na kwamba wao ndo walilianzisha hilo vagi.pamoja na kupigia simu na SMS pamoja na vipeperushi kuwaonya kuondoka lakini HAMAS kawashawishi wasisikilize lolote kutoka kwa yeyote hata kama kufa basi wafe SHAHID sisi huku tunawasikitikia lakini wao wamependa kuwa SHAHID.
Dunia imenyamaza kimyaaa kwasababu wanaoliwa huko palestine ni panya......
 
10570302_1492858267625328_3665306540850566771_n.jpg

Dunia imenyamaza kimyaaa kwasababu wanaoliwa huko palestine ni panya......
 
Bak hizo picha uhumbe tosha uzi ufungwe hiyo ndio conclution.....

Yaani kila news apa natizama naskia tu israel wamekufa 63 soldiets na 2 civilians ndio mana nasema waliouliwa palestine ni panya
 
Wanaokufa Gaza si panya ni Binadamu kabisa Dunia imenyamaza tu kwa sababu binadamu hao wanatumiwa tu kama chambo ili watu wa-post picha za watoto waliokufa ili angalao jumuia ya kimataifa ziwaonee huruma pamoja na kwamba wao ndo walilianzisha hilo vagi.pamoja na kupigia simu na SMS pamoja na vipeperushi kuwaonya kuondoka lakini HAMAS kawashawishi wasisikilize lolote kutoka kwa yeyote hata kama kufa basi wafe SHAHID sisi huku tunawasikitikia lakini wao wamependa kuwa SHAHID.

Dunia na media zote ni WANAFIKI
 
Undumila kuwili wa Marekani:

Jerusalem (CNN) -- The United States and the United Nations used the strongest language yet in condemning the latest strike on a U.N.-run shelter in Gaza, with Washington calling the attack "disgraceful."
At least nine people at the school, which was being used as a shelter for about 3,000 people, were killed in the shelling.

Israel-Hamas: Shelling draws strong condemnation - CNN.com
 
UN focus on mitigating all potential threats to economy, and for all great nations( the key actors);Wars is equal to economic gains, without War the economy demises. Without economy we can barely solve other world's problems. UN knows best.
 
(CNN) -- Tensions between U.S. President Barack Obama and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu have been strained for years. But the conflict in Gaza has ushered in a new low, some analysts say.
"It's probably the worst relationship between a leader of the United States and a leader of Israel since all the way back to the Eisenhower days," says David Gergen, a senior political analyst for CNN who served as adviser to four U.S. presidents. "The relationship has gotten rockier over this period during the war."
While Obama and Netanyahu emphasize friendship and mutual support publicly, a series of recent events present a different picture.
Blaming Israel for an attack that killed several people at a school in Gaza, the United States said it was "appalled" by the "disgraceful shelling" -- sharp criticism from Washington rarely heard when Israel is engaged in battle.

http://www.cnn.com/2014/08/05/politics/israel-us-relationship/index.html?hpt=hp_t1
 
So far, it has evidenced itself that, UN is nothing more than a bunch of impotent and incompetent countries with brainwashed leaders, united and driven by hypocritical philosophies, serving the will of 5 VETO countries with US as their Master.

CLOSED.png
 
Back
Top Bottom