Honey Faith umeniita MO11 habari yako mkuu viti vya bar always ni vidogo bana sijui kwa nini utafiti usipite pite huku mwachie BAK na Kibo10 na mshana jr wapite huku

Nilijua tu utasema tumebahatisha, ila sisi kuanzia sasa ukipita mbele yetu unakula za uso nne au tano.... Ile jana ni salamu kwa man u na vibonde wenzake wa uingereza....

Nilibet na BAK na si wewe.Wewe unaanzaje kubet wakati huna uhakika na team yako na huna kifua cha kustahimili?Yani wewe kazi kumtia presha mdogo wangu miss neddy