why so many terrorist have engineering degrees?

Unajua mhandisi anaweza kuwa mhasibu, mwanasheria, mwandishi wa habari, mkuu wa mkoa, refarii, jenerali wa jeshi, lakini hao wote hawawezi kuwa wahandisi, labda wapate kibali toka kwa Mungu! Unafanya mchezo na makalkulesheni?

Refer on my signature (down here) for the conclusion on your above observation!😀
 
kazi unayoifanya bht INJINIA anakuwa trained in one hour,ANAKUFUKUZISHA KAZI!kazi yangu mimi wewe HATA YESU AKIRUDI HAPA,HUTATHUBUTU.....
Hapa kazini niliwahi kufanya kazi za human resources baada ya training ya masaa 6! Afu nikawa boadi kweli manake hazikuwa zikinipa chalenji! Ni ripitisheni tu! Unafanya kazi hiyohiyoooooo mpaka mwaka unakatika!
 
Injia are creators after God!

Osama was civil engineer

at a glance

Herbert Hoover-USA 31st president was Mining/civil engineer
 
Injia are creators next to God!

Osama was civil engineer

at a glance

Herbert Hoover-USA 31st president was Mining/civil engineer
humo humo!ENGINEERS ARE NATURALLY GENIUS
 
Hapa kazini niliwahi kufanya kazi za human resources baada ya training ya masaa 6! Afu nikawa boadi kweli manake hazikuwa zikinipa chalenji! Ni ripitisheni tu! Unafanya kazi hiyohiyoooooo mpaka mwaka unakatika!
mi hizo kazi sitaweza,bora nikae baa nakula bia tu!.......
 
Refer on my signature (down here) for the conclusion on your above observation!😀
unfortunately huwezi kuijustfy hiyo signature!lakini UTAELEWA TU!sababu
TRUTH TAKES TIME
 
why so many terrorist have engineering degrees?
Mtengenezaji yeyote anajua pia udhaifu wa alichotengeneza, so inakuwa rahisi kwake kuharibu. Ningemwaga data hapa ila naogopa kutembelewa!
 
wala usimwage dataaz,WATAELEWA TU
 
Mtengenezaji yeyote anajua pia udhaifu wa alichotengeneza, so inakuwa rahisi kwake kuharibu. Ningemwaga data hapa ila naogopa kutembelewa!

Hahaha! Usiogope! Hapa tunajadili tu! Mwaga mkuu! Tunazisubiri!
 
kazi unayoifanya bahati INJINIA anakuwa trained in one hour,ANAKUFUKUZISHA KAZI!kazi yangu mimi wewe HATA YESU AKIRUDI HAPA,HUTATHUBUTU.....

heeee hapo kwenye bold mpwa vipi tena maana nacheka mwenyewe sasa!!!

mpwa kazi yangu ya kukaanga viazi mi nakubali kila mtu anaweza hata kama hana hobi...labda kama hana tumbo tu
 
Hehehe! Engineers at work! Wanafanya upembuzi yakinifu! Hata mimi nimefanikiwa kucheka kiduchu!
 
duh!
nilikuwa kwenye mood ya kuelezea profession kati kati NIKAHARIBU
enewei....
 
Hehehe! Engineers at work! Wanafanya upembuzi yakinifu! Hata mimi nimefanikiwa kucheka kiduchu!

huyo ndo eng. Geoff....hahaa mpwa no stresss bana, endelea kumwaga mapointi
 
naona WAMEIKIMBIA THREAD YAO!....vipi bado upo cafe?

Mi naona tuwahi Shekilango kwa ankal tukawahi products za wahandisi wa TBL/SBL! Hapa hakuna kinachoendelea!
 
Back
Top Bottom