Dunia kuna mawili.tuu ya.muhimu
KAZI na RAHAAAA
Fanya kazi pata pesa kula rahaaaa
Watu.hamna furahaaa kwasababu mnacomplicate sana juu maisha
Maisha ni haya haya wakuu,mtazid kusema wengine wachawi kumbe unajiroga mwenyewe
Manz/dume akikutenda tupe kule tafute mwingine..maisha simple sana
Ukipata pesa enjoy,ukikosa lala tafakali utapata vipi...
Unapaswa kujikubali,kujipenda na.kutambua wewe na hakuna mtu kama wewe..
Sasa majibu.ya maswali ya mtoa mada yanapatikana humu ndan...kwann ujinyonge wkt unajipenda,
Yaaan.uuche rahaa za dunia na kwenda kugeuka mzoga
Na pia watu waelewe kwamba hakuna kitu after life..when you die inamaana we ni chakula cha mchwaa,funza.na.mang`onyo hakuna peponi wala motoni...nikuoza tuu
Wana kulea raahaa,siku zipo speed balaaaa