Why should I get married?


 
Ndoa taamu bhanaa tunasonga mbele tuu sasa 12yrs
 

Haha wewe😮😮.... hapa naota ngoja nirudi kulala
 
Ntaolewa sababu nampenda hio ndio sababu kuu
Mengine kama kuwa mmiliki halali wa mboo etc etc ni minor lakini muhimu
 
Kuoa raha sana!!
> Unapata mtu wa karibu nawe unampenda na anakupenda (From the deepest part of your soul) anakujali unamjali, unamkumbatia anakukumbatia, unamfariji anakufariji na juu ya yote mnaingia kwenye deep intimacy companionship.
> Baadaye mwaweza kujaaliwa watoto wazuri. Mnawaangalia na kuwatunza kwa upendo. Kwa pamoja mnaleta viumbe/binadamu (watoto) kwa mfano wenu wakiwa wamelelewa na baba na mama. Mna enjoy kuwaona watoto wakicheza na kurukaruka pamoja na vituko vyao.
> Baadaye mkizeeka mtakuwa kwa pamoja mmewajibika ipasavyo. Hivyo mnachangia UUMBAJI

RAHA NA FURAHA YA MAISHA UWE NA NDOA YENYE AMANI NA UPENDO DAIMA
 
Nitaolewa nikijisikia Niko tayari nimejiandaa kiakili kimwili na kiroho pia atakayekua size yangu na kukidhi vigezo kwa sasa sina hamu kabisa na sijisikii
 
Ntaolewa sababu nampenda hio ndio sababu kuu
Mengine kama kuwa mmiliki halali wa mboo etc etc ni minor lakini muhimu
Ukinogewa utaomba umiliki wa hiyo Joystick haraka sana...labda bado hujampata mnogeshaji
 
Nitaolewa nikijisikia Niko tayari nimejiandaa kiakili kimwili na kiroho pia atakayekua size yangu na kukidhi vigezo kwa sasa sina hamu kabisa na sijisikii
Marriage ni kama crush tu...You meet a person,with all the necessary ingredients(as per your standards),by accident in most cases..and above all you find a striking balance in everything between you(you and him)...with the perfect chemistry!Mnajikuta tu hamchokani,everyone enjoy the other person company,always when you are together,you feel out-of-this world literary-very happy,you find that he shares the same hobbies,same world views the same life philosophy... and then BANG!mnajikuta tu mipango ya ndoa inaanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…