uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Ntaolewa kwasababu inaleta heshima na pia napenda kuwa na familia ila pale tu ntakapopata mtu sahihi otherwise bora nife single
Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.
Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.

Haha. Kijana nimependa adabu yako. Ila nisingependa kuitikia salamu yako, inaninyima fursa kwa wapendwa.shikamoo babu..
Ni kweli kabisa kijana. Wengi humu ni sawa na wajukuu kwangu.Mkuu, kumbe una ma-experience na hii mambo!! Inabidi sisi ambao bado tuchukue ushauri kutoka kwenu..
Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.
Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.
Ni kweli kabisa kijana. Wengi humu ni sawa na wajukuu kwangu.
Haha. Vijana wa leo tatizo hamjiamini na mna ubinafsi mwingi. There's enough to go around for all of us. Bibi ameshamaliza enzi yake.Sasa mkuu mbona watubania fursa za mamanze...wewe iko natakiwa umtunse na kumshow love bibi pekee...
Haha. Vijana wa leo tatizo hamjiamini na mna ubinafsi mwingi. There's enough to go around for all of us. Bibi ameshamaliza enzi yake.
Ndio ujiongeze sasa kijana. Kama viboko wanavyofanya, Alpha males ndio wanamiliki kila kitu.Hahahaa...tatizo ratio ya humu ndani haitutoshelezi...maombi yanakuwa mengi kupitiliza.....