Why sex for cash?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Nimepitia hii makal na nikaona nisiwe mchoyo lol...........................jisomee kama una muda na kama huna usijali nitatoa ufupisho wake hapo chini................

Kwa akina dada sababu ya kuuza uchi wao ni pamoja na...........................

1) malezi mabovu wakiwa wadogo.......wengi utakuta wanatoka kwenye familia ambazo baba na mama waliachana au hawkuwa na maelewano ambayo yangelimjenga mtoto kuthamini familia...............

2) mara nyingi ngono ya malipo inakuwa ni tiketi ya kukwepa kazi zenye ujira mdogo na za mtulinga............

3) fedha ndiye mungu wao wa uongo na hutumikia matumbo yao tu..............

4) wamezoea kukataliwa na jamii na ngono ya malipo inakuwa ndiyo njia pekee ya kukubalika kwa jamii...............

kwa akina baba wako tayari kulipia ngono kwa sababu zifuatazo:-

1) malezi hafifu kama dada zao hao

2) wanaona hiyo ni nafasi ya kujifunza utaalamu wa kufanza ngono

3) huona ni tiba ya kujiliwaza baada ya yule wampendao kuwawekea kizingiti katika kujamiiana

4) huona ngono ya malipo kama ni tiba ya kero za kidunia.................therapeutic reliever

5) ni mwanya wa kujionyesha ya kuwa una uwezo wa kupata ukitakacho kwa ujira maalumu..............

na zipo nyingine nyingi................lakini kamwe siyo kwa ajili ya mahaba......................la hasha ni upweke tu ndiko chimbuko la haya yote............................

Ruta nimeupenda utafiti wako ila .....jua kuwa wako wengine wana kila kitu hawana malezi ya ajabu wana ukwasi wa haja ila wanafanya sex for cash. Hawajakosa lolote katika maisha yao ila wameona wafanye hivyo
Sijui nimeenda nje ya mada

Jibu ya yote ni namba moja za kila upande,but muasisi wa uuzaji wa mwili ni mwaume!

Ruta nimeupenda utafiti wako ila .....jua kuwa wako wengine wana kila kitu hawana malezi ya ajabu wana ukwasi wa haja ila wanafanya sex for cash. Hawajakosa lolote katika maisha yao ila wameona wafanye hivyo

Sijui nimeenda nje ya mada

Mtu na tabia yake ni malezi,wote wajinga na wenye tabia za hovyo malezi ndo tatizo,kumbuka malezi huanzia tumboni!

Mhhh Eiyer wengine wana malezi bora tuu na sio kwamba wana malezi mabaya au walilelewa na wazazi ambao hawakuwajali ila walikuwa na kila kitu na wametoka zile familia bora. Ila wanaamua kwa hiari yao kuwa sex workers

Uimara wa nyumba yoyote ni msingi,nyumba ikiwa na msingi wa hovyo hata kimbunga kitaiangusha,malezi ndo msingi wa mwanadamu yoyote!Maisha unayoishi,namna unavyoiona dunia na mitazamo yako yote ni kutokana na malezi,kama unataka wanao wawe bora zingatia haya!

Ebu tuendelee kusoma posts kwani sikuwahi kufanya uchunguzi kuhusu hili.

Ya bure hainogi kabisa. Hata kwa mke kuna namna tunachangia huduma!

Uimara wa nyumba yoyote ni msingi,nyumba ikiwa na msingi wa hovyo hata kimbunga kitaiangusha,malezi ndo msingi wa mwanadamu yoyote!Maisha unayoishi,namna unavyoiona dunia na mitazamo yako yote ni kutokana na malezi,kama unataka wanao wawe bora zingatia haya!

Hakika,nakubaliana na wewe 100%,Malezi Bora humweka mbali mtoto na Uovu na ndiyo mzizi wa kila kitu chema katika Maisha ya mtoto yote!!

Imeandikwa "Mfunze Mtoto NJIA IMPASAYO NAYE HATOIACHA HATA UZEE WAKE"......"TRAIN UP A CHILD IN THE WAY HE SHOULD GO AND HE WILL NOT DEPART FROM IT",Hii ndiyo Hekima ya Mungu ambaye ndiye Muasisi wa Familia na maisha kwa Ujumla!!

Tatizo wazazi tuliowengi hasa sisi wakina Baba hatu TRAIN watoto,mtoto anakuwa kama Mgomba tu,Hatupandi mbegu bora katka Mashamba yetu,as a result magugu yanaota!! Hii inasababishwa na Uvivu na Kukosa Maarifa!!

Hatuwafundishi kwa Bidii hata vitu vidogo tu kama Kushukuru,kusamehe,Kutoa,Kuomba Msamaha,Kuheshimu wengine hasa watu wazima,etc,wengi hatiufanyi,wengine wanaenda mbali zaidi,mtoto akikosa wala mzazi hamrudi wala kukalipia Uovu!!

Kama Masomo hayo mepesi tu tunashinda kuyashinikiza kuingiza katika vichwa na Mioyo ya watoto sembuse kuwafundisha KUJIHESHIMU,KUWA NA FAHARI,UVUMILIVU,KIASI(SELF-CONTROL)etc!!

Mtu ambaye wazazi wake wamemfundisha na kusimamia MAADILI kwa BIDII hawezi kufanya Uasi au kutumia Uchi wake kama nyenzo ya kujipatia kipato,hata uza hata karanga ili haweze kujikimu,hata fanya Ngono na Mtu akisukumwa na Upendo sio Tumbo!!

Chanzo cha Matatizo yote haya ni Wazazi wengi hasa wanaume hatutimizi Majukumu yetu,tupo bize na Mpira,Pombe na Umalaya!!
Lets Change and Make the World a better place to Live!!

Kwa nini mwanamke asimlipe mwanaume after sex work. Whats special with woman in a way that you should pay for a sex day service? Help me members,

Back
Top Bottom