Why Rwanda?

babajnr

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
98
Reaction score
13
I am not a political analyst lkn kuna kaswali najiuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya viongoozi wa waasi wa DR Congo na nchi ya Rwanda?

Najaribu ku-link ilivyotokea miaka michache iliyopita juu ya madai ya kukamatwa kwa Gen Nkunda huko Rwanda na hivi majuzi eti Gen Ntagandabitware naye kajisamilsha ubalozi wa Amerika ulioko Rwanda, je matukio haya yanatokea coincidentally au ni mkakati ulopangwa?

Kwa nn mfano asijisalimishe Tz, Burundi au nchi nyingine yoyote iliyoko eneo la Maziwa makuu au EA?
 
waasi wa DRC ni watutsi na wana support ya museveni na kagame....nahis nimekupa mwanga kidogo. isitoshe inasemekana joseph kabila si mtoto wa laurent kabila bali baba yke halisi ni mtutsi na jina la joseph kabila ni hypolite kanembe
 
waasi wa DRC ni watutsi na wana support ya museveni na kagame....nahis nimekupa mwanga kidogo. isitoshe inasemekana joseph kabila si mtoto wa laurent kabila bali baba yke halisi ni mtutsi na jina la joseph kabila ni hypolite kanembe

Thanx,lkn wasiwasi wangu ni kwamba ulowataja kwa pamoja wasije kuelekeza nguvu zao mashariki mwa ziwa Tanganyika,patachimbikaje???
 
Tatizo lilianza miaka karibu miaka 500 iliyopita, mkoloni alipoingia Afrika na kupigiliwa msumari mwaka 1884 mkutano wa Berlin kuigawa Afrika.

Ugawaji wa makoloni ambayo yaligeuka kuwa nchi hayakuzingetia watu wa asili moja kuwa katika koloni moja, mfano ni huo wa Rwanda na mpakani mwa DRC, walioko upande wa DRC asili yao ni Rwanda na si kusema wameamia huko, bali wamezaliwa pale. Hivyo akina Nkunda na Ntaganda wakirudi rwanda tamaduni haziwapi shida.

Hapo unaweza kuunganisha swali lako na maelezo yangu kupata jibu.
Kwa kumalizia unakumbuka profesa mhaya amepewa uwaziri na kagame ni mwendelezo ule ule wa tamaduni za mhaya kufanana sana na za rwanda, uganda na burundi ila mhaya hajajiingiza kwenye migogoro
 

kama wanasakwa na wanahofia kuuawa Rwanda ni karibu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…