Why Paka Wengi wa Bar wana ma-hips ya kufa mtu!!!!!!!!!!!111 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why Paka Wengi wa Bar wana ma-hips ya kufa mtu!!!!!!!!!!!111

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Naipendatz, Nov 16, 2011.

 1. N

  Naipendatz JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 917
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Ukienda bar nyingi za dar hukosi kuta pakas wengi sana especially zile bar za kichovu zinazouza bia below 1800! But bar za kishua or zinazouza bia above 2000 mara chache sana utakutana na paka! Je paka ni rafiki wa wachovu, watu wanaopenda vitu cheap or? Then Paka wengi wa bar huwa wanakuwa na hips za ukweli kupitiliza kiasi kwamba if upo tungi la kutosha waweza mix na mambo yetu yale!! Hizi hips zatoka wapi??? or michemsho???
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaahahha....... wewe usije ukawa umemfungua paka kidirisha chake.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Inaonekana upo tungi
   
 4. King2

  King2 JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mabaki ya michemsho hayo.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! mwe mwe mwe mwe mweeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Ngoja nikalale sasa maana huko uendako kuna kila dalili ya kesi ya mtu kufanya mapenzi na mnyama. hapa nilipo sina mbavu, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mbona hata wewe hiyo mihips yako inatamanisha?
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mweeeeeh! Ulevi ni noma..
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  itakuwa kijiti ndo kimemchanganya
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  kunywa safari laga,huku ukifurahia Jagwa,bila kusahau Chimbwanga na ule Mjani laga pembeni. Nalog off
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usishangae mapaka hayo hayo ndiyo yanayochinjwa na kuchanganywa katika michemsho. Hujiulizi kwa nini bei ya kilo ya nyama au kuku ndio ile ile karibu Dar yote, lakini kwenye bar za wachovu bei ni rahisi?
  Shhhhhhhhhhhhhhh!!! Kula na usimwambie mtu!
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha! Hapo ulipo ushalewa wewe.
   
Loading...