nashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa hasimami, akisimama nikivaa kondom analala! Muda mwingine nikiingiza analala ndani kwenye k! Tatizo nn? Muda mwingine najimwagia nikiwa bado kwenye romance! Je natumia muda mwingi sana kufanya romance au tatizo nn? Romance huwa natumia kama dk24. Msaada wenu jaman
sipo overweight, cfanyi mazoez, vyakula vyangu chips, wal, nyama, ugal mikate, chai, soda, andaz, chapat. Ivyo ndo vyakula vyangu vya mara kwa mara
dah! pole sana jmn!!! ntafute kwa muda nkipe tiba mbadala!! fild utaanzia kwangu lkn!
We ni virgin?? Nadhani huna tatizo la nguvu za kiume. Ingekuwani nguvu za kiume usingesimamisha kabisa. Tatizo ni kwamba: una lowself esteem/ low confidence in ur self. Na pia kwa kua hicho kitu kimekutokea huko nyuma,basi ukiwa na demu humfikirii yeye, unafikiria whether itatokea au la..matokeo yake unaloose concentration kwa msichana, negative feelings zinakutawala then mashine inaishia kulala chali.."Daah sijui leo tena itatokea" hisiambaya sana hizi,
Badili hii mambo mkuu sio rafiki wa mwanadamu
Badala yake jaribu dona..mchicha ..matunda ..maji lita tatu ya vuguvugu au moto kabisa kila siku ...punje moja ya kitunguu swaum kama alivoeleza mziz mkavu ..soda soda hiz achana nazo jombaaaa
one of the commonest cause inaweza kuwa stress ...either shule au juu ya hayo mapenzi yenyewe(mademu)..lakini pia watu ambao wanajichua kwa muda mrefu hupatwa na hili tatizo.ukiacha njia nyingine njia ambayo unaweza kutumia ikakusaidia ni kujipa ni kukaa muda kidogo( miezi 2/3) bila kujihusisha na sex/kujichua....hii itakusaidia kujenga akili yako tena taratibu(psycho-mental reconstruction),pia itakuasaidia kubadili mawazo yako kidogo kuhusu sex(unaweza kujitahidi kuangalia mtazamo wako kuhusu sex-pengine unafanya sana kila siku, pengine unafanya na mademu ambao huwapendi au hawakuvutii llkn unafanya tu kwa sababu ndo wanapatikana...labda unaangalia porno sana -zinedent ur brain na kukupunguzia kuto kujiamini na vitu kama hivo)y, lkn pia itakusaidia kujenga mwili physically(ukiweza ufanye na mazoezi na kuangalia msosi itakua poa zaidi).....Tahadhari tu usipaniniki ukakimbilia kutumia dawa yeyeote(kwa waganga).....tatizo lina weza kuwa kwenye akili yako..(hasa kuhusu mtazamo kuhusu sex na kipindi unachiopitia na aina ya maisha unayoishi)
dah! pole sana jmn!!! ntafute kwa muda nkipe tiba mbadala!! fild utaanzia kwangu lkn!
nashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa hasimami, akisimama nikivaa kondom analala! Muda mwingine nikiingiza analala ndani kwenye k! Tatizo nn? Muda mwingine najimwagia nikiwa bado kwenye romance! Je natumia muda mwingi sana kufanya romance au tatizo nn? Romance huwa natumia kama dk24. Msaada wenu jaman
mkuu hio ni stage tu ya growth kwa mvulana yeyote duniani!
imagine mpaka id yako inasema you are the Mostwanted boy by girls..! so romantic!
thanks kwa kunitia moyo. By the way 'i am the mostwanted boy' girls want and love me. But the only problem is that, i can't make them enjoy the way they do think i can.
haa haaa haaaa!nacheka lakini naomba unisamehe kwa kucheka!unavyoeleza utafikiri mmiliki wa gari bovu anamuelezea fundi gereji ubovu wa gari lake...mara ohooo nikiwasha starter haiwaki,ikiwaka mara inashtua shtua,ikitembea inazima njiani,mara oil inavuja....dah pole sana ndugu yangu,kifupi UNAMILIKI GARI BOVU....na "fundi gereji" mahiri hapa anayetambulika ni bwana mmoja anaitwa Mzizimkavu ,muone huyo tafadhali
tatizo wewe unapapatika kama vile umepigiwa honi pande nne!
tulia kwanza..! usiwe na haraka nao bana eenh! kuku wako manati ya nini?
kwani ukila chungwa moja kwa masaa manne utaulizwa na nani? ni lazima ulile kwa robo saa?
sasa mi pointi zangu zinaingilianaje na urasimu mkuu?we wasema! Mabinti wa cku izi! Mabinti wa Rasimu! Ukicheza wanaenda kwa jiran
Tatizo la msingi hapa ni uoga kabla hujafanya unaanza kuogopa km itasimama tena pamoja na ushauri uliotolewa hapo juu ingia pharmacy nunuq Dawa inaitwa tadalafil kidonge ni SH 10000 vitatu vinatosha kumaliza Tatizo lako usiiendekeze hii Dawa si Nzuri kuitumia saana ni hapo mwanzoni tu ukiwa unarudisha kujiamini urijali wako kidonge kimoja baada ya siku tatu hqkikisha mkeo hayuko kwny hedhi ni muhimu mkasaidiana