Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
nashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa hasimami, akisimama nikivaa kondom analala! Muda mwingine nikiingiza analala ndani kwenye k! Tatizo nn? Muda mwingine najimwagia nikiwa bado kwenye romance! Je natumia muda mwingi sana kufanya romance au tatizo nn? Romance huwa natumia kama dk24. Msaada wenu jaman