In most cases mwanaume kulala na mwanamke mwingine (yeye kuwa in a relationship ni moja ya weak reasons ya kuto lala na mwanamke mwingine kwa walo wengi). Mie naona in most cases it has to do na tendo lenyewe lilikuwaje. Kama mmefanya SEX na ni mind and body blowing sex, simu yake ikiharibika atachukua tu ya rafikiye akutafute. Kama ana mtu wake atajitahidi kupanga ratiba zisigongane kabisa (yaani rules zote za kitabuni za players zitawekwa hapo).
Kama alilala na wewe akakuchukulia tu ni trophy na akakuta sex ya kawaida basi ujue hawezi kutafuta tena... But believe me you kama the sex is extra wonderful than normal, he will be back for more... Atleast hivo ndio naamini.
M'Jr habari ya siku?

Dah mkuu hayo maneno mazito sana ngoja wajibu wenyeweMimi kitu ambacho unishangaza kupindukia kutoka kwenu ni hizi unfortunate statements kama hizi: "Sleeping with someone after his persistent begging for sex, you gave in!! repeate GAVE IN!!" hii ina maana gani hasa? Yaani mtu yeyote ukikutana naye barabarani akakuganda kwa kuhuza maneno au kukupigia magoti au akajifanya kulia - hilo tu basi unahamuwa ku-GIVE IN, is this normal!!
Mtu ambaye huna feelings juu yake utamkubalia vipi!!! Au wenzetu mko-wired tofauti kabisa na SISI??? Tupe ufafanuzi.
Dada AshaDii nzuri sana ingawa ulipotea kiasi,
Yes nakubaliana na wewe kwenye hili and nikawa nawaza kama hakuna moja ya thread zako yenye link na how sex can make it or break it. Hujawahi kuweka kweli? Kama ipo ingekuwa vizuri tungei link
Napenda michango yako mingi sana, na ninakuheshimu sana kwenye hiyo kitu niliyobold, maana tofauti na wengi wetu na uchangiaji wetu tunachanganya maoni yetu na facts. Yaani ninachoamini mimi Kaunga basi nalazimisha iwe hivyo!
Kudos my dearest, glad you are back!
Asante dada, ngoja nifanye ka utafiti kadogo nije na ka post ka namna gani first sex can have an effect on relationshipKwa sasa nipo kaka...
Sijawahi weka thread yenye topic hio ila alternatively labda nikupe link ambayo yahusiana na mahsiano. Kama hujawahi iona maybe waweza benefit... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/171628-do-you-feel-loved.html?highlight=
Mimi kitu ambacho unishangaza kupindukia kutoka kwenu ni hizi unfortunate statements kama hizi: "Sleeping with someone after his persistent begging for sex, you gave in!! repeate GAVE IN!!" hii ina maana gani hasa? Yaani mtu yeyote ukikutana naye barabarani akakuganda kwa kuhuza maneno au kukupigia magoti au akajifanya kulia - hilo tu basi unahamuwa ku-GIVE IN, is this normal!!
Mtu ambaye huna feelings juu yake utamkubalia vipi!!! Au wenzetu mko-wired tofauti kabisa na SISI??? Tupe ufafanuzi.
Asante dada, ngoja nifanye ka utafiti kadogo nije na ka post ka namna gani first sex can have an effect on relationship
Imani yangu katika first sex iko hivi;
Kwa mwanamke uhusiano wa mapenzi huanza pale ambapo mmekubaliana kuwa sasa tuwe pamoja kama wapenzi kabla hata ya kufanya mapenzi.
Kwa mwanaume akisha lala na wewe ndio anatambua kuwa hapo pana mahusiano ama lah! Naweza nikawa nimekosea ila kwa kiasi kikubwa naamini hivo. Labda wewe unisaidie upande wa wababa/kaka kama nimekosea.
In most cases mwanaume kulala na mwanamke mwingine (yeye kuwa in a relationship ni moja ya weak reasons ya kuto lala na mwanamke mwingine kwa walo wengi). Mie naona in most cases it has to do na tendo lenyewe lilikuwaje. Kama mmefanya SEX na ni mind and body blowing sex, simu yake ikiharibika atachukua tu ya rafikiye akutafute. Kama ana mtu wake atajitahidi kupanga ratiba zisigongane kabisa (yaani rules zote za kitabuni za players zitawekwa hapo).
Kama alilala na wewe akakuchukulia tu ni trophy na akakuta sex ya kawaida basi ujue hawezi kutafuta tena... But believe me you kama the sex is extra wonderful than normal, he will be back for more... Atleast hivo ndio naamini.
M'Jr habari ya siku?
Labda kabla sijaongelea upande wa wababa niongee generally ninavyofikiria,
Mi huwa naamini kwamba mahusiano huanza kwa namna tofauti ambapo mara nyingi mwanaume huanza na kutamani kabla ya kufikiria kutengeneza mahusiano ya muda mrefu. Kwahiyo katika hili nakubaliana na wewe kwamba tendo huwa na sehemu kubwa sana ya kumfanya mwanaume either ayafanye mahusiano hayo kuwa ya muda mrefu au ndio yakaishia hapo. Sasa tendo lenyewe lilivyofanyika siku hiyo ya kwanza laweza kuwa na nafasi katika maamuzi yake hayo ila sehemu kubwa itabebwa na tukio zima la siku hiyo pamoja umbo la huyo mwenza wake kwa jumla. Sasa kwa upande wa wanawake nahisi huwa ni tofauti kidogo maana kwao ni kama kutamani huwa kuna nafasi ndogo sana (except kwa wale ambao mapenzi kwao ni kitu kisichokuwa kwenye msamiati wao na wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu tofauti na mapenzi) lakini lengo lao kubwa huwa ni mahusiano ya muda mrefu na mara nyingi tendo humkuta akiwa kwenye kiwango kikubwa cha mapenzi tayari wakati mwanaume tendo huwa na nafasi kubwa ya kuinua kiwango chake cha mapenzi.
Kha nafikiri nimeongea kwa kuchanganya kwa jumla na pia kama mbaba...

Well said.....utunduuuu.....usafi.....vionjoooo.....kama ni plus plus hapo kwanza naweka kwa phone halafu na osifini kwenye yellow sticker; phone ikizingua backup ipo ila kama ni kawaida sana tena chini ya mke wa nyumbani mathalani mtu kaoa.......shomboo.....lala kama gogo.......hypothermic....materialistic......bongo lala......aaaargh just to name a few
Arudi kufanya nini mtoto wa kiume???? Apige ili iweje kwa mfano...........