Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Of the few things hapakazitu will be remembered for is how to thwart internal terrorism.

We may disagree on the methodology but we concur it worked.
The question of whether the ends justified the means is best left to historians. Not the current ones who are defiled by elements of bias.
 
Ninaamini
1615870617447.jpg
 
KESHA LA ASUBUHI

Jumanne 16/03/2021

UHAKIKA WA USHINDI

Ambaye alijitoa nafsi kwa ajili ya dhambi zetu, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu. Wagalatia 1:4

Kwa kuutoa uhai wake kwa ajili ya uhai wa ulimwengu, Kristo alijenga daraja katika shimo kubwa ambalo dhambi ilileta, akiunganisha ulimwengu wenye laana ya dhambi na ulimwengu wa mbinguni kama jimbo. Mungu aliuchagua ulimwengu kuwa jukwaa kwa ajili ya matendo yake makuu ya neema. Wakati ambapo hukumu ya adhabu iliposimamishwa juu yake kwa sababu ya uasi wa wakaaji wake, wakati ambapo mawingu ya ghadhabu yalipokuwa yanajikusanya kwa ajili ya uasi wa sheria ya Mungu, sauti ya ajabu ilisikika mbinguni, “Ndipo niliposema, tazama nimekuja...kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu” (Zaburi 40:7, 8).

Mbadala wetu na uhakika wetu alitokea mbinguni akitangaza kwamba alileta pamoja naye msaada mkubwa usiokadirika wa uzima wa milele. Msamaha unatolewa kwa wale wote wanaorudisha utii wao kwa sheria ya Mungu. Lakini wapo wale wanaokataa kupokea “hivi ndivyo asemavyo Bwana.” Hawataitukuza na kuiheshimu sheria yake. Wanatengeneza sheria kali za kibinadamu katika kupinga “hivi ndivyo asemavyo Bwana” na kwa maagizo na mifano huwaongoza wanaume, wanawake, na watoto katika dhambi. Wanaziinua sheria za kibinadamu juu ya sheria takatifu. Lakini hukumu ya adhabu na ghadhabu ya Mungu viko juu ya wasiotii.

Mawingu ya haki yake yanakusanyika. Nyenzo kwa ajili ya maangamivu zimekusanywa kwa zama nyingi; na bado ukengeufu, uasi, na kukosa utii kwa Mungu vinaendelea kuongezeka. Watu wa Mungu waliosalia, wazishikao amri zake, watalielewa lile neno lililosemwa na Danieli, “Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa” (Danieli 12:10).

Shetani ameita ulimwengu huu himaya yake. Hapa ndipo penye kiti chake, na anashikilia katika utii wake wale wote wanaokataa kuzishika amri zake, wanaikata iliowazi, “hivi ndivyo asemavyo Bwana.” Wanasimama chini ya bendera ya adui, kwa kuwa kuna pande mbili tu ulimwenguni. Wote huangukia chini ya bendera ya utii au chini ya bendera ya kutotii.

Yesu sasa anatuma ujumbe wake kwa ulimwengu ulioanguka. Yeye Anafurahia kuwachukua wanadamu wasio na matumaini kabisa, Awafanye wawe chini ya neema yake, wale ambao kupitia kwao Shetani ametenda kazi. Anafurahi katika kuwaokoa toka katika ghadhabu ambayo itawaangukia juu ya wasiotii.

TAFAKARI NJEMA SANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom