Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Dec 29, 2010 #1 Wadau, Naomba tuelimishane au kukumbushana juu ya wanawake, ya kwamba:- Kwa nini wanawake hawapendani Kwa nini wanawake wanadharauliana sana Kwa nini wanawake wanapohitaji huduma huwa hawapendezwi kuhudumiwa na wanawake wenzao Waongeleapo 'haki sawa' na wanaume,, je iwaje hakuna upendo baina yao hata awe na rank kiasi gani Je itokeapo mwanamke awe ndio jemedari mkuu wa nchi yetu,, hapo itakaaje kwa akina mama wenzao Naomba kuwasilisha na tuelimishane maana wengine yatutatiza kiuelewa, watu wa GENDER tujuzeni kulikoni???
Wadau, Naomba tuelimishane au kukumbushana juu ya wanawake, ya kwamba:- Kwa nini wanawake hawapendani Kwa nini wanawake wanadharauliana sana Kwa nini wanawake wanapohitaji huduma huwa hawapendezwi kuhudumiwa na wanawake wenzao Waongeleapo 'haki sawa' na wanaume,, je iwaje hakuna upendo baina yao hata awe na rank kiasi gani Je itokeapo mwanamke awe ndio jemedari mkuu wa nchi yetu,, hapo itakaaje kwa akina mama wenzao Naomba kuwasilisha na tuelimishane maana wengine yatutatiza kiuelewa, watu wa GENDER tujuzeni kulikoni???
spencer JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 3,599 Reaction score 3,226 Dec 29, 2010 #2 Mpevu, Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko"
Mpevu, Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko"
L LAT JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 4,400 Reaction score 1,318 Dec 29, 2010 #3 Mods .... hili ni jukwaa la siasa.... redirect this post to community forums please sorry mkuu
C carefree JF-Expert Member Joined Dec 19, 2010 Posts 266 Reaction score 49 Dec 29, 2010 #4 Wanawake ni wanadamu hivyo wanahitilafiana kama wanaume kwani fitina na hila wanazofanyiana wanaume kwenye biashara manji na mengi , kwenye siasa lowasa na sita hao nao ni wanawake?
Wanawake ni wanadamu hivyo wanahitilafiana kama wanaume kwani fitina na hila wanazofanyiana wanaume kwenye biashara manji na mengi , kwenye siasa lowasa na sita hao nao ni wanawake?
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Dec 29, 2010 Thread starter #5 spencer said: Mpevu, Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko" Click to expand... sorry guys, Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo. sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA.
spencer said: Mpevu, Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko" Click to expand... sorry guys, Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo. sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA.
L LAT JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 4,400 Reaction score 1,318 Dec 29, 2010 #6 mpevu said: sorry guys, Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo. sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA. Click to expand... i like you.... a piece of a gentlemen
mpevu said: sorry guys, Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo. sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA. Click to expand... i like you.... a piece of a gentlemen