why is that!!!!!??

Joseph tandika

New Member
Aug 31, 2011
1
0
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

One knows that to lose the one you love is to lose your future, happiness and so on... why one act rude towards me' asini show that ananipenda' afiche that I am special in her heart' asitake nijue kuwa she can't live without me' asiniambie ukweli kuwa I am his soul mate'''''' WHY!!!!!?
 
Hiki ki-english cha ki-dotcom wengine kinatuacha hola!.
acha na m waki.com nikufafanulie
yani anamaanisha kwanan huyo shost hataki kumuonesha hata kidogo kama anamlove kiasi gani
kwann hataki kumuonesha mwana kama yy ndio mwenyewe tu ktk moyo wake
na kwann msichana hataki kabisa msela asome feeling zake mana shost kazificha zote kwakifupi hasomeki kabisa yani
na pia kwann msichana hataki kumuonesha mwana kua hawezi kuishi bila yy (she cant leave without him)
na pia kwann shost amfanyie ivo wakati anajua kabisa mseka kafa kwake mazima
nimejitahidi sasa cjui na mm umenipata au hali ni ile ile
 
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?[/QUOTE

tatizo yeye hakuelewi kutokana na lugha yako isiyo eleweka. jifunze kuongea ukaeleweka, itamsaidia mwenzako kukuelewa , hivyo kukupa hicho unachotarajia toka kwake.
 
.............word
 
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

You are the greatest sinker.
 
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

You are the greatest sinker!
 
acha na m waki.com nikufafanulie
yani anamaanisha kwanan huyo shost hataki kumuonesha hata kidogo kama anamlove kiasi gani
kwann hataki kumuonesha mwana kama yy ndio mwenyewe tu ktk moyo wake
na kwann msichana hataki kabisa msela asome feeling zake mana shost kazificha zote kwakifupi hasomeki kabisa yani
na pia kwann msichana hataki kumuonesha mwana kua hawezi kuishi bila yy (she cant leave without him)
na pia kwann shost amfanyie ivo wakati anajua kabisa mseka kafa kwake mazima
nimejitahidi sasa cjui na mm umenipata au hali ni ile ile

oh ok!

kama ni hivyo; mwambie kuwa hapo hakuna mapenzi ya kweli; mapenzi ya kweli huuukunjua moyo uliojifunga; hayaaa kujizuga na hayana kujificha; mapenzi ya kweli yanachanua kama maua kutoa harufu nzuri na kuangaza kwa kila aonaye!
 
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

lugha gani hii?
 
acha na m waki.com nikufafanulie
yani anamaanisha kwanan huyo shost hataki kumuonesha hata kidogo kama anamlove kiasi gani
kwann hataki kumuonesha mwana kama yy ndio mwenyewe tu ktk moyo wake
na kwann msichana hataki kabisa msela asome feeling zake mana shost kazificha zote kwakifupi hasomeki kabisa yani
na pia kwann msichana hataki kumuonesha mwana kua hawezi kuishi bila yy (she cant leave without him);[/QOUTE]
Mwana hata wewe sijakusoma.unasema jamaa analalamika au?mia
 
mkuu pole sana.kwa kukusaidia naireport hii thread yako ili PAW akusaidie kuiedit.hupati msaada wa mawazo sababu watu wanashindwa kuielewa kiulahisi ukizingatia jf wanakua wapofaster na mambo yao.sawa?mia
 
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

wew ni mkaka?
yey ni mdada?

mi chngereza nehh jaman..ebu iweke kwa lugha yetu tukufu ya taifa iliyosanifishwa na mkoloni mwak 1925....
 
Back
Top Bottom