Muulize SamsonWakuu natumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.
Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..
Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
😃😃😃 Upwirukawaulize nguruwe jike ,kwann akiwa joto na ikatokea hakuna dume anauwezo kubomboa Banda hata liwe la chuma
Kwenda kutafuta dume popote lilipo
Hakika ni hatari mkuuUjobless mbaya sana..
Kabla ya kujua Kiingereza, ungeiandika aje hii mada kwa Kiswahili?Wakuu natumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.
Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..
Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
Nakazia hoja! Soon kibubu kinaweza basti 😄😄Ukiona hivyo jua kibubu kimejaa mkuu.