green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,308
- 35,852
Tanzania tunauwezo kuichukua Rwanda yote na kuitawala kimabavu kama Russia alivyo chukua Crimea tunaweza ila tunaona upuuzi wa mtu mmoja hauwezi kutesa wengi ila akibep atajikuta kwenye kirobaHehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Sent using Jamii Forums mobile app