Why is Rwanda always the common factor in conflicts in the African Great Lakes?

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,925
2,000
Rwanda Vs DRC
Rwanda Vs Burundi
Rwanda Vs Tanzania (Briefly during Kikwete's time)
Rwanda Vs South Africa (They had a diplomatic standoff after Kagame assassinated someone on South African soil)
And now
Rwanda Vs Uganda!
Huyu Kagame ashughulikiwe sasa. Yeye njia pekee anayojua ya kudeal na wapinzani wake ni kuwaua tu.....yaani wafe wao au afe yeye. Ina maana alitegemea serikali ya Uganda ikae kimya tu huku yeye anafanya mauaji ya raia (hata kama ni wa Rwanda) kwenye Ardhi ya Uganda?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,480

Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.

Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?

Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,622
2,000
Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,771
2,000
Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.

Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?

Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,693
2,000
MK254 wa rwanda wanaipenda sana kenya kuliko nchi zote hapa africa kwakweli hongereni sanaa tena mmepiga hatua kubwaaa sanaaa kama ulaya vileee nyiniy ni middle income country, na ndege zenu zile ndio kabisaaa wa rwanda wakaamua wawaigeee wajaribu kushindana na nynyi lkn sijui kama watawapata
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,507
2,000
Mkuu rwanda ipo kimbinu zaidi lengo la SGR ni kufika congo kama burundi wangekuwa wanajielewa SGR ingepitia kwao then ingeingia congo

So urafiki wa jiwe na slim upo kimbinu zaidi maana kama tungeendelea kumkazia nadhani slim angechomolea SGR ya tz
Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.

Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?

Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,443
2,000
MK254 wa rwanda wanaipenda sana kenya kuliko nchi zote hapa africa kwakweli hongereni sanaa tena mmepiga hatua kubwaaa sanaaa kama ulaya vileee nyiniy ni middle income country, na ndege zenu zile ndio kabisaaa wa rwanda wakaamua wawaigeee wajaribu kushindana na nynyi lkn sijui kama watawapata

That's the biggest joke most Rwandese wameanza wajua juzi tu. Rwandese have a long history with Tanzania. Hatunaga shobo tu

N.B : Rwanda, Burundi plus Tanganyika used to be one country during the Germany colonial Era.
 
Nunc dimittis

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
1,142
2,000
Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.

Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?

Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.[/QUOTE
Dunia ya sasa no pernanent friends nor permanent enemies wewe unaangalia nchi ktk muktadha wa size ambao ni wa kizanani sana.toka jiwe amerudisha uhusiano na rwanda bandari ya dar inafika kipindi kuna mpaka container 3000 za rwanda.
Kwenye issue ya reii hamtaki ipite rwanda ,ok give other alternatives ili nikieleze why rwanda or burundi are only options!!
 
Nunc dimittis

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
1,142
2,000
Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Who was behind M 23?do u know what happened there?????.read monusco reports.bravo general Mwakibolwa
 
Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,925
2,000
Lol..Watz wanaogopa Rwanda sana.
Kumbe kagame si hivihivi. Anajua kuwanyorosha ipasavyo😆
Tuwaogope wakati ule ulikuwa mkoa wa Tanzania Enzi za ukoloni…...we have historical/cultural ties that run deep my friend nyie mmekuja juzi tu mnajikuta wajuaji.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,622
2,000
Who was behind M 23?do u know what happened there?????.read monusco reports.bravo general Mwakibolwa

Nyie majanga kweli, hivi kupigana na watoto wa m23 ni kitu cha kujisifia, hao M23 ni kundi lililokua likiteka watoto na kuwalazimisha kupigana.
Na pia juhudi dhidi yao ilikua kwa muungano wa majeshi kutokea mataifa tofauti Congo ikiwemo.
Siku mpambane na wanaume wa kujitoa mhanga bin shetwan akina ISIS na Mashababi ndio muwe na jeuri ya kuongea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom