Why is Rwanda always the common factor in conflicts in the African Great Lakes?

Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Tanzania tunauwezo kuichukua Rwanda yote na kuitawala kimabavu kama Russia alivyo chukua Crimea tunaweza ila tunaona upuuzi wa mtu mmoja hauwezi kutesa wengi ila akibep atajikuta kwenye kiroba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Reli ilitakiwa iishie Lusahunga Biharamulo basi!!
Hiyo ndio ingekua akili kubwa ya Kiuchumi na sio kuwapelekea Wanyarwanda Reli mpaka chumbani ili wao watumike kupokea mizigo ya Kongo na kuihifadhi kwao. Watapata faida Mara mia ya sisi tuliopoteza mashamba,kodi na ardhi yetu kujenga hiyo reli.

Hivi ni nani anaishauri Serikali ya SiSeMi.
Hivi SiSeMi haioni kuwa Katiba ya nchi hii inamfanya MTU mmoja kuwa na nguvu kuliko Chama na serikali yote na kushika na kuongiza nchi anavyotaka?

Hali hii na katiba tuliyonayo ikiendelea kuwa hivi ipo siku hii nchi itawekewa kiongozi Pandikizi la magaidi na nchi kuwa kama Afghanistan ilivyokuwa mana kwa katiba tuliyo nayo Akitokea mkuu Mwenye imani Kali ataipeleka nchi atakako na watu wataufyata na wateule wake na chama chake watatii ili waendelee kula keki ya taifa kwa matakwa ya MTU mmoja.

Mambo makubwa kama ya kujenga Uchumi wa nchi na mahusiano na nchi jirani kama Rwandanda yenye historian ya vurugu ,vita na mauaji na ukabila yangehitaji mjadala mpana sana wa kitaifa sio kukurupuka kirafiki.
Rwandanda ni kama kashamba ka Kagamegame lakini Tanzania haiwezi kuwa ni shamba la bibi kwa karne hii.
Ogopa kuungana na mtu anayejiamini na kujiona ana akili kuliko wewe.

Rwandanda chini ya Kagamegame wanajiona the besti na wanaweza kufanya wanachotaka. Bahati mbaya wameishika Nchi yetu kwa manufaa yao.
Awamu ya NNE chini ya Ltn. Col. J.K. walifanya utafiti wa kiuchumi na kiusalama wakaona Rafiki wa Kweli wa Tanzania ni Burundi na Congo sio Rwanda. Rwandanda ni jirani anayesaka maslahi kwa namna yoyote.

Kwa mfano unapotoa Mapori ya akiba kuwa vijiji ni lazima pawe na uhakiki mkubwa wa uraia mana mapori mengi ya Kagera wamejaa Wanyarwandanda. Watu wasio na tija na uchumi wetu zaidi ya kuweka mapandikizi kwenye siasa hasa wakati wa uchaguzi wakati Mgogo hawezi kugombea udiwani Rwandanda akapata lakini kwetu wamejazana na wamejifanya ni watanzania.

Uzalendo sio kupambana na wanasiasa Bali kulinda mipaka ya nchi na wavamizi wanaovamia na kukalia ardhi yetu kwa manufaa yao.
Namuunga mkono Museveni Kukataa na kuamua kuondoa tatizo Afrika Mashariki na Kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyo Kagame mnayemsema kuwa dhaifu, ndiye hapa tena unampa hadhi kwa kuwa nyuma ya hao M23.
Kikubwa ni kwamba hata kama Kagame alikua nyuma yao kiaina, hakua na uhuru wa kuiweka wazi au kuwapa nguvu za kutosha maana hilo lingemletea matatizo makubwa dhidi ya ulimwengu. Hao watoto wa M23 kuna wakati walitelekezwa baada ya Kagame kusemwa sana na kwa sababu wao hawakua na itikadi kali kali kama za mashababi, ilibidi wakimbie na kutoroka vita, tofauti na mashababi ambao huachia hadi afe wa mwisho ili wakapate mabkira.
-1.mimi sijasema kagame ni dhaifu
-2.Bro. Hujui politics za g.lakes nikuulize swali rwanda na uganda walivyokuwa wanaiba resorces za drc who was behind them??was UN dead???
-3.Wheres is laurent nkunda aka (kunda batwale)????
Mauaji na ukatili aliyofanya Drc vipi haendi the Hauge???? Is nkunda above the law?
-4.Dunia ni kijiji watu kujua kagame anausika ni issue ndogo kama waluvyojua Uhuru na Ruto ni wauaji na ngo kibao zimemnyooshea kidole kagame
 
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Umefikiria kama Mwanauchumi
 
Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
hata mkiungana nyinyi,uganda na hao so called rwanda bado tz hamuiwezi,

mingingo island uganda wanawatoa kamasi,ndo mtawaweza wabongo
 
hata mkiungana nyinyi,uganda na hao so called rwanda bado tz hamuiwezi,

mingingo island uganda wanawatoa kamasi,ndo mtawaweza wabongo

Hatuiwezi kwa lipi haswa, au ni kipi Tz imetushinda nacho, maana mpo nyuma yetu kila kitu.
 
Hatuiwezi kwa lipi haswa, au ni kipi Tz imetushinda nacho, maana mpo nyuma yetu kila kitu.

kwani we ulikuwa unajadili nini kuhusu tz na rwanda?hata hivyo kenya mmetuzidi tz mambo ya hovyo kama vile njaa,major slums,kuongea kizungu,corruption,ushoga...
 
Hakuna inchi hata moja inayotuzunguka inaweza kusimama na sisi TZ waulize viongozi wenu.
 
Hatuiwezi kwa lipi haswa, au ni kipi Tz imetushinda nacho, maana mpo nyuma yetu kila kitu.
Tumeizidi sana.
Tanzania ndio Beberu la Afrika Mashariki.
Na amino ile kasi aliyokuwa nayo JK ingeendelea tungezitawala nchi zote za Afrika Mashariki Kiuchumi.
Azam ilifikia mahali pa kulitawala soko la Afrika Mashariki kati na kusini.

Kariakoo ilikua inabadilika kuwa Honkong na bidhaa zote zilikua zinatokea Tanzania.

Na bado subiri Siku chama kinachowasaidia kupunguza kasi ya maendeleo ya kuwaacha mbali kitoke madarakani kule Zanzibar mtaona bidhaa zote za used zikiuzwa Zanzibar na Afrika nzima wakija Zanzibar kupitia DSM.
Tanzania ni Bull Dog wa E.A. Hivyo vinchi vingine ni vinchi uchwara.

Duh hapa umefyatuka hata ni vigumu kuelewa unakotokea na unakoelekea, mara JK mara Zanzibar....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom