Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Hivi 'kila' relationship lazima iishie kwenye ndoa...hata kama ni relationship ndefu?!
Marriage changes nothing but your names (mr&mrs)
.......only standing hard for one another matter........mimi nina girlfriend wangu huu ni mwaka wa saba tunaenda.......tumezoeana balaa kero zipo.......but kila nikitaka kutafuta mwingine naishia kujuta maana sehemu ya moyo wangu inakuwa kama inang'ooka hivi.......so kiukweli inawezekana kwa wenye nia na ambao wameshajikubali hata iweje.......watakuwa pamoja..............mimi na mpenzi wangu bado tunapambana sio rahisi ni ngumu.....inaumiza......inakero......ila inawezekana........na hakuna kitu kinachoshindikana hapa duniani ni watu wa kukifanya tu ndio hawapo........!
Ndio Kama Mahusiano Hayaishii Kwenye Ndoa, Huo Ndo Unaitwa "Ukahaba" Maana Hata Kesho Unaweza Kumwacha Huyu Na Kuwa Na Mwngne. inatakiwa ndan ya cku 35 baada ya kukubaliana, unatakiwa kuanza kutoa taarifa kwa wazazi,
Dada zangu wa Jf, nataka niwasadie. nimeona kuna watu wapo kwenye mahusiano kwa miaka 3 na zaidi na kisha bado wanasema "nakupenda" sio kweli. Kwa mtu mwenye upendo wa dhati na wa kweli kama mimi, huwezi kukubali kukaa mbali nae kwa muda wote huo.
Sasa kitu kinachotokea ni kwamba yamkini jamaa kuna binti mzuri sana jirani anampenda lakini kwa sababu yupo darasa la 6 na bado "not matured" anavumilia. Kwa hiyo ndani ya mahusiano yenu miaka 5 yule binti tayar amemaliza form4 na ndo amependeza zaidi maana amekuwa matured, anakuacha.
Kitu cha muhimu mwambie mchumba wako akupe ruhusa uwaambie nyumbani kwenu na yeye awaambie wazazi wake, kisha mwambie aje kujitamblisha maana hiyo itakupa kuaminika kwa wazazi wako na jamii pia. lakini hakikisha usizidi mwaka mmoja baada ya kutoa mahari ndoa iwe imefungwa.
Hapo dada zangu sinimewasaidia