mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
- Thread starter
-
- #21
ilibinaadamu yeyote athibitishe ubora wake kwa chochote anatakiwa akabiliane na changamoto tofauti tofauti.siokila mtu atakae toa ushauri kama huu anamchukia messi ubora hupimwa kwa mitihani tofauti kaka.ronaldinho alitamba sana barca alipokwenda italy amefanya nini au huko alipo anafanya nini,msikwepe ukweli kwa kuwapakazia watu wivu kwa upenzi uliopitiliza.messi anatisha lakini angekazia kidogo uthibitisho ndivyo soka ya kileo inavyopimwa,nani asiyejua ligi ya hispania ni ya kike siku hizi ligi ya timu mbili kama ya mbuzi
we acha ushamba eti ligi ya kike? Na ubora tunaupima kupitia qualification kuingia knock out stages ya UCL mbona zimeingia timu 4 yani Barca,malaga,Real Madrid,Valencia? Uingereza Man city na Chelsea wametupwa nje?
Last season Athletic Bilbao walifika Final na Atletic Madrid bado unazipima eti timu laini? We jua kua Real madrid na Barca ni timu ngumu zaidi katika La liga
na kama ya kike mbona Real ameachwa point 13? Wakina nani walimshika shati? Sevilla,levante,espanyol au barca?
DOGO yuko Royal kwa walivumbua kipaji chake, pesa anapata nyiiingi ahame ili iweje?
MAGWIJI wa soka wote wamenyoosha maelezo kuwa dogo ni mkali ispokuwa haters kama nyie alafu wengi wenu ni Manure,chelsick au shabiki wa Madrid
magwiji kitu gani kaka huyo shabiki maandazi asikuchoshe kucheza mpira sio sababu kujua chochote ingekuwa hivyo basi watu wanaokaa sana kanisani wangegeuka yesukama unajua mpira vizuri utajua kwamba kupita qualifications za CL haimaanishi timu inacheza vizuri.. last season chelsea won the CL were they the best team in europe? walimaliza wa ngapi kwenye ligi? liverpool waliposhinda CL walimaliza wa ngapi kwenye ligi? CL ni knockout competition which means any team can beat anyone on their day. malaga wako wangapi kwenye la liga? barcelona wangekua PL wanacheza na kina stoke/everton kila wiki unafikiri messi angekua anafunga mabao mawili matatu kila mechi?
magwiji kitu gani kaka huyo shabiki maandazi asikuchoshe kucheza mpira sio sababu kujua chochote ingekuwa hivyo basi watu wanaokaa sana kanisani wangegeuka yesu
hata kama mimi ningekuwa kiongozi wa barca nisingemuuza messi maana ndo timu yenyewe.
dah yaelekea unampenda messi kuliko mungu maana una hasira maana yaelekea mtu akitoa maoni tofauti na wewe ni adui.hatuwezi wote kupenda kitu kimoja dunia ndivyo ilivyo punguza tu hasira kwenye majadiliano.
uliposema hauzwi ndo mjadala ulipoanza na kuwaita watu wana wivu.sasa tunajadili nini na jibu umetoa hapa?
kama unajua mpira vizuri utajua kwamba kupita qualifications za CL haimaanishi timu inacheza vizuri.. last season chelsea won the CL were they the best team in europe? walimaliza wa ngapi kwenye ligi? liverpool waliposhinda CL walimaliza wa ngapi kwenye ligi? CL ni knockout competition which means any team can beat anyone on their day. malaga wako wangapi kwenye la liga? barcelona wangekua PL wanacheza na kina stoke/everton kila wiki unafikiri messi angekua anafunga mabao mawili matatu kila mechi?
uliposema hauzwi ndo mjadala ulipoanza na kuwaita watu wana wivu.
zipo kama uamini ngoja wamuweke sokoni....barca wanajua zipo ndo mana hawataki kumweka sokoni mana faster atachukuliwa tena bila ya mkopo.Sidhani kama MESSI anaweza kuthubutu kuhama Barca kwa mambo waliyomfanyia tangu akiwa mtoto labda Barca waamue kumuuza.Kuhama kwake ina maana atakwenda kukutana na utamaduni mpya kabisa (England,Italy,France,Russia,Germany) hata hivyo ni timu ngapi duniani kwa sasa zinaweza kutoa dau la kumnunua Messi
anaogopa challenges huyo....hata kama barca wamemtoa mbali ilibidi naye atoke akachezee ligi zingine ili authibitishe ubora wake kama watu wanavyosema.
ila messi bora kwa kufunga magori ya penalty.
Sioni kama kuna timu inaweza toa dau la kumnunua MESSI England,Italy na Germany,naamini Real Madrid wanaweza lakini Barcelona hawawezi kuwauzia na Messi hawezi kukubali kwenda kwa mahasimu wa Barca.PSG & Anzi ndio wanaweza kutoa dau but sidhani kama Messi atakubali kucheza Russia au France
wala siyo chuki ila kwangu mimi huo ndo mtazamo wangu.........chuki wazi wazi unazionesha hayo magoli 90 kwa mwaka penalt ngapi?
wala siyo chuki ila kwangu mimi huo ndo mtazamo wangu.........
haya bwana if you think so......ngoja nikuache mwenye hoja.yah ni mtazamo wako hakuna anaebisha na uliojaa wivu na chuki vile vile huna hoja